Nina miaka 39 - Natafuta Mchumba

Muda umefika sasa wa kutafuta jiko - yaani kuoa. Nina miaka 39 sasa natafuta binti mtanashati, mrembo, mpole na mshika dini - awe ana miaka 22 hadi 24 asiwe na mtoto, msomi walau kidato cha nne; mrefu wa futi 5.8 na kuendelea asiwe Bonge uzito kilo 45-55 hivi, awe maji ya kunde au rangi ya chungwa itakuwa mwaaa zaidi.

Mengineyo tutaongea nikimwona na tukianza mahusiano - awe mcha Mungu na asiwe na makuu yaani macho juu uu - asiwe na tamaa - sichagui dini wala kabila. karibuni warembo.

Naambatanisha haka ka picha kangu nimekachukua nikiwa Gym leo asubuhi - Asanteni kwa ushirikiano wenu.

Sifa yangu ya pekee najua kupenda!!

View attachment 1138100
Hizo specification kama unafanya chemical processing au titration
 
Wanawake sjui mnakwama wapi wengine mtakimbilia makanisani mkaombewe akati nafasi hyo apo imejitokeza yani unapata vitu viwili kwa wakati mmoja

.mume
.bodyguard

Sjui mnakwama wap
 
Muda umefika sasa wa kutafuta jiko - yaani kuoa. Nina miaka 39 sasa natafuta binti mtanashati, mrembo, mpole na mshika dini - awe ana miaka 22 hadi 24 asiwe na mtoto, msomi walau kidato cha nne; mrefu wa futi 5.8 na kuendelea asiwe Bonge uzito kilo 45-55 hivi, awe maji ya kunde au rangi ya chungwa itakuwa mwaaa zaidi.

Mengineyo tutaongea nikimwona na tukianza mahusiano - awe mcha Mungu na asiwe na makuu yaani macho juu uu - asiwe na tamaa - sichagui dini wala kabila. karibuni warembo.

Naambatanisha haka ka picha kangu nimekachukua nikiwa Gym leo asubuhi - Asanteni kwa ushirikiano wenu.

Sifa yangu ya pekee najua kupenda!!

View attachment 1138100
Wewe nikababu hatukutaki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom