Aiseh pole sana... Pambana utafute mtoto muda umefika wa ww kupata mtoto... Ujachelewa sanaMiaka inazidi kuyoyoma, nmetimiza miaka 30 mwaka huu, sina mtoto ata wa kusingiziwa...
Wakati nazidi kukazana[emoji3064][emoji3064][emoji3064]kutafte tonge mdomoni ila pia nmepoteza mda mwingi ma sasa sina mtoto, sina ata mwanamke wa kuzaa nae,
Kiasi kwamba ata nikipata mtoto tiyari nmechelewa, ukipata mtoto above 26 wewe umechelewa
[emoji16][emoji16][emoji16]Duh pole san una miaka30 atadem huna????
Wakumpandia pandia akikaa sebleni 🤪Wa nn sasa 😳
Tumechelewa mno shangazi 🤣🤣Tunachelewa sana 30yrs[emoji50]
Kwa kweli🤣Wakumpandia pandia akikaa sebleni 🤪
Hamjaamua Kwa kweli😉Tumechelewa mno shangazi 🤣🤣
Tatizo hao partners ndio hawaonekani….mtaani wamejaa sperm donors 😂😂😂Hamjaamua Kwa kweli😉
We akili unazo? 🤔 Usije kukesha unatafuta mwenye akili kumbe shida ni weye ndiyo huna akili 🤣🤣Unahofia nn tatizk umaskini ndo inasumbua eti watoto waje nisaidia au wasukuma
Mwanaume unakuwa na wasiwasi hata 40 unazaa ukiwa na pesa unaza kutoboa miaka 70 amini
Anyway Rihanna juzi kapata mtoto wake na anatimiza miaka 34 una wasiwasi gani mi mwenyewe sina mtoto kila kitu ninacho maana kila demu namuona hana akili mpaka nipate mweny akili na adabu ndo ntazaa nae
He Is not a good partner?Tatizo hao partners ndio hawaonekani….mtaani wamejaa sperm donors 😂😂😂