Nina miaka 21 na sijafanya mapenzi

Nina miaka 21 na sijafanya mapenzi

mm n mwanaume wa miaka 21 cjawahi kufanya mapenzi je itaniletea matatizo ntakapooa?

Dah jamaa ile kitu ni tamu asikwambie mtu...... Ukiionja utalia ka nguruwe anakula muwa na kitakacho fuata ni kesi ya ubakaji
 
Pole sana ww na udomo zege wako huo,angalia usijekarbisha watu wakucheZeeee kabang!!!!!!!!!!!!!
 
Wewe dogo bado Mimi nilikuja kuanza nikiwa 28 baada ya kuoa ,MUNGU anasema wala musiikaribie zinaa kwani huo ni uchafu na ni njia mbaya kupita mtu.
Keep it up(vumilia)
 
Kumbuka ukioa Mwanamke hana BIKRA ujue umeoa Mpenzi wa mtu. Japo sasa hivi zipo za Shabu na Ndimu, nilishawahi kutegeshewa ya Shabu na mtoto wa kiTanga sasa kumbe kakutana na Kontawa kitambo tu nikasugua ile ile .
 
Back
Top Bottom