Nina miaka 21 na sijafanya mapenzi

Nina miaka 21 na sijafanya mapenzi

bikira atampata wap ss hiv anakwambia ana miaka 21, kuna bint kafika miaka 18 hajawah kusex cku hiz jaman

Wapo na tupo wengi sana usimkatishe mwenzio tamaa....ikimbie zinaa ndugu yangu
 
kijana mbona mie niljkuwa sijui papuchi mpaka 25...ila ukija kuonja utaipenda sana na utagegeda sana

Sasa ndio nimekufahamu mkuu....duuh kumbe inalipiza miaka ya kuchua na sabuni?
 
Sasa ndio nimekufahamu mkuu....duuh kumbe inalipiza miaka ya kuchua na sabuni?

hahha acha tuuu...sabuni mpaka ikawa inabidi saa nyingine tupige kavu kavu kitandani maana ni balaa.
 
Hakuna theory yeyote inayoapply hapa, endelea kujitunza na wewe utabarikiwa, Mungu sii adhumani, atakujaalia mke aliyejitunza kama wewe. Mimi nilianza na miaka 30, mapenzi mazuri ni yale ambayo kila siku mnakuwa na mbinu mpya, ukiingia ukiwa unafahamu kila kitu lazima usumbuke. Kwa hiyo mtu asikutishe dogo angu.
 
Me mbona nimetolewa bikra at 23 nikiwa chuo mwaka wa mwsho..na nilikua sista duu ..hehe usiseme hawapo mtaani...
 
Kuna madhara kama kuzungusha kichwa mara kwa mara kila unapomuona mdada akipita na dushelele kusimama ovyo ovyo
 
Mwangalie kwanza unavyowapotosha wenzio!!!!!!hiyo theory ya wapi????proove it.
Kuna theory ya use and missuse kwamba..kila kisichotumika with time aidha kinapungua size au kinpotea kabisa........
 
Subiri mwaya haiozi hiyo,tena unajiongezea umri wakuisi sababu hakuna mapenzi wala ku cheat.tuliza babu ally kwanza..
 
mm n mwanaume wa miaka 21 cjawahi kufanya mapenzi je itaniletea matatizo ntakapooa?

Hongera na usihofu,cha msingi we endelea kujitunza mpaka utakapokuwa tayari kutafuta mwenzi wa maishani mwako.
 
m nakaa uswahilini.ki ukwel bikra adim sna street ham wez amin!

Umejuaje kama bikra ni adimu wakati bado uko sealed,au ulikuwa unasaka kira ulivokosa
ndo ukaja jf kujaribu bahati nasibu lol
 
ila nahic ntakua mshamba wa penz mbele ya mke wangu kaka

Usihofu bwana mdogo kama unasoma kazana na kama unatafuta pesa kaza buti na vumilia mpaka utakapooa tena utakaempata mkapime HIV kwanza kwani dunia ya sasa ni hatari sababu kuna wadudu wengi.Hauwezi kuwa mshamba hata kidogo wakati kuna utandawazi ingia kwenye internet soma jinsi ya kumfikisha mke kileleni, pia kuna vitabu vya tendo la ndoa vinaelekeza jinsi ya kumfikisha mke kileleni hakika kama utaelewa vizuri utakuwa mtaalamu.Mimi nilioa nikiwa na miaka 29 na nilikuwa sijawahi kufanya lakini mke wangu nikimkamata anapata burudani zaidi na anafika kileleni barabara kabisa.Hakikisha unajifunza jinsi ya kumpa mke clitoris orgasm, multiple orgasm, G-spot orgasm and squirting orgasm hakika hatakuona mshamba na atakuona wewe ndiye mume shujaa kuliko wanaume wengine wote hata kama walishamuondoa bikira na vyote hivyo vifanye baada ya kumuandaa vizuri.
 
Me mbona nimetolewa bikra at 23 nikiwa chuo mwaka wa mwsho..na nilikua sista duu ..hehe usiseme hawapo mtaani...

Je aliyekutoa ndiye aliyekuoa? Kama siye wewe ni mzinzi na ulifaa kupigwa mawe enzi za kina Musa.Hiyo kitu ni special kwa mume na si vinginevyo tatizo munakuwa mapepe mno na matokeo yake munaolewa huku hamna na ndiyo maana munasalitiwa, Utabisha lakini kama utaolewa na bikira ungekuwa mwanzo wa kiapo kwa mumeo.
 
Back
Top Bottom