Nina maumivu ya kiuno yasiyoelezeka

Nina maumivu ya kiuno yasiyoelezeka

Wewe nenda hospitali achana na pharmacy unaweza kuwa na tatizo kubwa hiyo ni ishara tosha kwamba kuna jambo haliko sawa,fanya full check up.
->Afya ni mtaji
 
Okay mkuu.
Maumivu ya kiuno yanawezwa kusababisha na mambo mengi lakini mara nyingi husababisha na Mawe kwenye figo,
Maambukizi na kukaza kwa misuli.
Kiashiria cha mawe kwenye figo ni kusikia maumivu wakati wa haja ndogo na kwakuwa umesema ukienda haja ndogo unapata maumivu makali basi tatizo linaweza kuwa hapo. Note: sina uhakika.

Mkuu wahi hosptali ukapate vipimo na uhakika, hapa hutopata majibu sahihi.
Au unaweza kuja kujuta baadae kwanini ulichelewa kuwahi hospitali.
 
Ni usiku Ila Mimi Sina usingizi.

Nina maumivu ya kiuno yasiyoelezeka. Naumwa kama mwez wa sita huu nimeenda hospitali bila mafanikio. Kinafunda kama kina usaha ndani.

Pia Nina maumivu ya kichwa kisichopona (chronick headache) sijui shida iko wapi. Mbaya zaidi kichwani mara nyingine nasikia mngurumo /mchakacho kama ausikiao tumboni mtu mwenye njaa.

Naomba anayeweza kunishauri au kujua chanzo Cha tatizo na napateje matibabu

Tusaidiane tafadhali
uchunguzi wako wa awali uanzie kwenye Life Style yako...kazi unazojishughulisha zako mda mwingi, vyakula vyako(vinavyopelekea kuongezeka uzito sana) na pia ufanyaji wa mazoezi hasa ya kiuno na nyonga...kichwa kuuma mara kwa mara huwa muda mwingine ni alert ya kuwa kuna kitu ndani ya mwili hakipo sawa,ni vyena kufanya kipimo kamili cha damu wanaita Fool Blood Picture then uendelee na tracing nyingine.
 
Walinipa dawa ya kupaka tu haijanisaidia
Kuhusu kichwa walinambia ninywe maji mengi Ila kichwa kijiuma nikinjwa maji hakitulii tena wakati wa kwenda kukojoa napata maumivu kama kinang'ofoka hapo
Tatizo linaweza kuwa kwenye uti wa mgongo, jaribu kutembelea hospitali kubwa, pia unaweza kuangalia upande wa pili kwenye tiba mbadala, pale hospitali itakaposhindwa kukupa suluhisho.
 
Ni usiku Ila Mimi Sina usingizi.

Nina maumivu ya kiuno yasiyoelezeka. Naumwa kama mwez wa sita huu nimeenda hospitali bila mafanikio. Kinafunda kama kina usaha ndani.

Pia Nina maumivu ya kichwa kisichopona (chronick headache) sijui shida iko wapi. Mbaya zaidi kichwani mara nyingine nasikia mngurumo /mchakacho kama ausikiao tumboni mtu mwenye njaa.

Naomba anayeweza kunishauri au kujua chanzo Cha tatizo na napateje matibabu

Tusaidiane tafadhali
Nakushauri uende hospitali Daktari makini hawezi kukutibu hivyo ulivyoelezea. Umeenda kwenye vidispensary vidogo vyenye huduma za kawaida.

Hilo lako ni kubwa na linahotaji uchunguzi wa kina

Hakikisja huna shida ya Presha, sukari na mengineyo.
 
P
Ni usiku Ila Mimi Sina usingizi.

Nina maumivu ya kiuno yasiyoelezeka. Naumwa kama mwez wa sita huu nimeenda hospitali bila mafanikio. Kinafunda kama kina usaha ndani.

Pia Nina maumivu ya kichwa kisichopona (chronick headache) sijui shida iko wapi. Mbaya zaidi kichwani mara nyingine nasikia mngurumo /mchakacho kama ausikiao tumboni mtu mwenye njaa.

Naomba anayeweza kunishauri au kujua chanzo Cha tatizo na napateje matibabu

Tusaidiane tafadhali
Pole sana mkuu. Sijui uko mkoa gani kama uko Dar nenda Hindu Mandali, Regence, rabininsia, mwananyamala au Amana.
 
Ni usiku Ila Mimi Sina usingizi.

Nina maumivu ya kiuno yasiyoelezeka. Naumwa kama mwez wa sita huu nimeenda hospitali bila mafanikio. Kinafunda kama kina usaha ndani.

Pia Nina maumivu ya kichwa kisichopona (chronick headache) sijui shida iko wapi. Mbaya zaidi kichwani mara nyingine nasikia mngurumo /mchakacho kama ausikiao tumboni mtu mwenye njaa.

Naomba anayeweza kunishauri au kujua chanzo Cha tatizo na napateje matibabu

Tusaidiane tafadhali
Mtafute specialist wa Neurology au Orthopedic
 
Ni usiku Ila Mimi Sina usingizi.

Nina maumivu ya kiuno yasiyoelezeka. Naumwa kama mwez wa sita huu nimeenda hospitali bila mafanikio. Kinafunda kama kina usaha ndani.

Pia Nina maumivu ya kichwa kisichopona (chronick headache) sijui shida iko wapi. Mbaya zaidi kichwani mara nyingine nasikia mngurumo /mchakacho kama ausikiao tumboni mtu mwenye njaa.

Naomba anayeweza kunishauri au kujua chanzo Cha tatizo na napateje matibabu

Tusaidiane tafadhali
Angali uti wa mgongo ..unawezakuwa na mushkeli Labda kwa sababu unakaa sana ama unakaa isivyofaa. Acha kuweka walet na vingine matakoni. Ukae ukiwa Umenyooka. Aidha acha kulala kitandani ama katika godoro. Jitese kwa mwezi kulalia mkeka then njoo hapa useme neno
 
Ni usiku Ila Mimi Sina usingizi.

Nina maumivu ya kiuno yasiyoelezeka. Naumwa kama mwez wa sita huu nimeenda hospitali bila mafanikio. Kinafunda kama kina usaha ndani.

Pia Nina maumivu ya kichwa kisichopona (chronick headache) sijui shida iko wapi. Mbaya zaidi kichwani mara nyingine nasikia mngurumo /mchakacho kama ausikiao tumboni mtu mwenye njaa.

Naomba anayeweza kunishauri au kujua chanzo Cha tatizo na napateje matibabu

Tusaidiane tafadhali
U.T.I
 
uchunguzi wako wa awali uanzie kwenye Life Style yako...kazi unazojishughulisha zako mda mwingi, vyakula vyako(vinavyopelekea kuongezeka uzito sana) na pia ufanyaji wa mazoezi hasa ya kiuno na nyonga...kichwa kuuma mara kwa mara huwa muda mwingine ni alert ya kuwa kuna kitu ndani ya mwili hakipo sawa,ni vyena kufanya kipimo kamili cha damu wanaita Fool Blood Picture then uendelee na tracing nyingine.
Asante sana kwa ushauri
 
Back
Top Bottom