kalanga1
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 318
- 422
Habarini wapendwa,
Naombeni msaada,
Ni takribani miezi miwili sasa nasikia maumivu katikati ya kifua changu, yaani sehemu ambapo mbavu za pande mbili zinapokutana sjui ni nini hasa, inanitokea nikiwa nainama au nimejikunja au nikiwa nanyanyuka wakati mwingine nikiwa nimekaa tuu inatokea panauma.Panauma kwa ndani, nimeshaenda hospitali nimepewa dawa ila imerudia tena.
Naombeni msaada plz sina raha