Nina maumivu mkali sana kwenye korodani

Nina maumivu mkali sana kwenye korodani

Sio kila mtu Ni Kaka, Orchitis na epididymitis ni magonjwa yanayoshika korodani, Tina yake Ni moja, kanunue Doxycycline (doxy) na Cetrifixone (sindano moja) utapona izo pumbu zako
nimecheka eti izo pumbu zako
 
Sio kila mtu Ni Kaka, Orchitis na epididymitis ni magonjwa yanayoshika korodani, Tina yake Ni moja, kanunue Doxycycline (doxy) na Cetrifixone (sindano moja) utapona izo pumbu zako
Vp kuhusu kunywea kwa korodani yani kuwa ndogo sana kama za mtoto pia wakati mwengine huuma ukizishika?
 
Hilo ni chango la ngiri,utameza dawa utamaliza makopo yote,utapata nafuu kidogo lakini baadaye itaamuka.Tafuta tiba thabiti,mara nyingi dawa za mitishamba hukomesha kabisa.
 
Ushaambiwa ashapima Hana hernia, atakuwa na Orchitis inayosababibshwa na bacterial au viral herps
 
Sio kila mtu Ni Kaka, Orchitis na epididymitis ni magonjwa yanayoshika korodani, Tina yake Ni moja, kanunue Doxycycline (doxy) na Cetrifixone (sindano moja) utapona izo pumbu zako

Nimependa jinsi umejibu
 
Back
Top Bottom