Nina mashaka na uwezo wa Godless Lema

Nina mashaka na uwezo wa Godless Lema

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Nimejaribu kuwa kimya lakini naona kuna haja ya kusema.

1. MH LEMA amekuwa mtu wa kulaumu na kulalamika kila wakati. kumlaumu rais kwa hoja dhaifu namna hii ni upofu. je mh lema mapungufu makubwa yaliopo chadema ya kiuongozi huyaoni. mbona km mpambanaji wa kweli hatukusikii ukikemea je huo uzalendo uko wapi?

2. Kiufupi kasome uchumi utaelewa namna inflation inavotokea na sikila kitu unakimbilia kwa mh raisi

3. Kasome sheria ya mabadiliko ya katiba, rais kisheria hana uwezo huo.

4. Je jimbo la Arusha mjini mbona hujakamilisha ahadi zako mbono hilo hulizungumzii?

Tubadilike watz kulalamika tu suluhisho.
 
nimejarib kuwa kimya lakini naona kuna haja ya kusema
1 MH LEMA amekuwa mtu wa kulaumu na kulalamika kila wakati. kumlaumu rais kwa hoja dhaifu namna hii ni upofu. je mh lema mapungufu makubwa yaliopo chadema ya kiuongozi huyaoni. mbona km mpambanaji wa kweli hatukusikii ukikemea je huo uzalendo uko wapi?
2 kiufupi kasome uchumi utaelewa namna inflation inavotokea na sikila kitu unakimbilia kwa mh raisi
3 kasome sheria ya mabadiliko ya katiba raisi kisheria hana uwezo huo mbn mh unakurupuka
4 je jimbo la arusha mjini mbn hujakamilisha ahadi zako mbn hilo hulizungumzii?
tubadilike watz kulalamika tu suluhisho.
Chadema hawawezi kuwa wapinzani wa kutumia akili kama viongozi ni wa aina ya akina LEMA. watabaki kuupata umaarufu kupitia maandamano, migomo na ulaghai, siku wananchi wakiwachoka watakosa pa kujificha
 
Mkuu watu wamesha wachoka tayari watu kama Lema et al
 
Nimejaribu kuwa kimya lakini naona kuna haja ya kusema.

1. MH LEMA amekuwa mtu wa kulaumu na kulalamika kila wakati. kumlaumu rais kwa hoja dhaifu namna hii ni upofu. je mh lema mapungufu makubwa yaliopo chadema ya kiuongozi huyaoni. mbona km mpambanaji wa kweli hatukusikii ukikemea je huo uzalendo uko wapi?

2. Kiufupi kasome uchumi utaelewa namna inflation inavotokea na sikila kitu unakimbilia kwa mh raisi

3. Kasome sheria ya mabadiliko ya katiba, rais kisheria hana uwezo huo.

4. Je jimbo la Arusha mjini mbona hujakamilisha ahadi zako mbono hilo hulizungumzii?

Tubadilike watz kulalamika tu suluhisho.

Katika watu ovyo nafikiri wewe unaweza kuongoza, Ulitaka Lema amwambie nani? kwani chadema ndio imeshika Dola ni vema kushirikisha kichwa kufikiria
 
Chadema hawawezi kuwa wapinzani wa kutumia akili kama viongozi ni wa aina ya akina LEMA. watabaki kuupata umaarufu kupitia maandamano, migomo na ulaghai, siku wananchi wakiwachoka watakosa pa kujificha

Viongozi wanaotumia Akili niwaaina gani? Yakifisadi?
 
Chadema hawawezi kuwa wapinzani wa kutumia akili kama viongozi ni wa aina ya akina LEMA. watabaki kuupata umaarufu kupitia maandamano, migomo na ulaghai, siku wananchi wakiwachoka watakosa pa kujificha
arusha mjin 2015 wajifunze
 
Hata mimi nina mashaka na uwezo wako. Kwa nchi kama tanzania haiitaji kujua mfumuko wa bei unasababishwa na nini, acha kumtetea jk, yeye mwenyewe alishasema hajui ni kwanini tanzania ni masikini wakati huohuo anawaambie wananchi atawaletea maisha bora!
Jipange uje upya acha kutetea upumbavu, kama hujamwelewa lema, haya niambie umeelewaje kauli ya kikwete kwamba hajui ni kwanini tanzania ni masikini.
 
Lema kwavile najua kichwani hazijaenea vizuri mimi huwa hanipishida nampuuza tu.
 
Hata mimi nina mashaka na uwezo wako. Kwa nchi kama tanzania haiitaji kujua mfumuko wa bei unasababishwa na nini, acha kumtetea jk, yeye mwenyewe alishasema hajui ni kwanini tanzania ni masikini wakati huohuo anawaambie wananchi atawaletea maisha bora!
Jipange uje upya acha kutetea upumbavu, kama hujamwelewa lema, haya niambie umeelewaje kauli ya kikwete kwamba hajui ni kwanini tanzania ni masikini.
Yani wewe ndiyo kitunguu kabisa hujielewi wala hujui unafanya nini kama ndege wewe bata ambaye huoga matope nakujiona anapendeza.
 
Back
Top Bottom