Sita shangaa.Huenda akawa rais wa kwanza kutawala mhula mmoja.
Ukweli ni kwamba sikuamini yale nilo sikia. Ati kuna hakimu aliamua kesi 900. Sijui ni kile kiswahili cha JPM kilikuwa kigumu kwangu ....
Huu ndio ukweli. Sifa ndio zilitufikisha hapa. Haya maneno kuwa 2020 ukawa wanachukua nchi tulishasikia kabla ya uchaguzi wa 2015 kutoka kwa viongozi wao waandamizi kuwa ccm ijitayarishe kukabidhi nchi kwa amani. Rais anafanya kazi wako watakao appreciate na watakaobeza. Hii ni hulka ya binadamu kwani kila mtu yuko unique ktk kuelezea msimamo/matarajio yake. Cha msingi ni kujadili hoja bila ushabiki wa kisiasa.Magufuli hahitaji sifa. Anahitaji kazi
Wazungusha mikono jengeni hoja za kujenga nchi,kosoeni ili kuboresha utendaji wa kazi; Ni upuuzi kukatisha tamaa ili nyie muachiwe kutawala. Wanaoongozwa wanajua wanataka nini.
rafiki,
ndio maana raisi wangu akaitwa mkuu wa nchi.
jichukulie ww ni baba, je vitu vinavyotokea nyumbani huvijui licha ya kwamba mama ndio hufanya shughuli nyingi nyumbani?
same kwa raisi wangu kabla hajasema lolote siku ile ya mahakama tayar amejua mwenendo wa kesi na ukweli halisi ndio maana alipata nguvu ya kuyasema aliyoyasema.
tuchukulie mfano wa haya c&f agencies 210 zilizofungiwa leo( refer to other habari humu jamvini) zile zote si hela? bado kuna wahujumu wa TRA na other Govt agencies wakifilisiwa si hela zingine hizo ni kwamba siku zote hua wanaishinda serikali kwa sbb ya kutoa rushwa sasa huo mlango ukifungwa nn kitatokea??
mtu amekutwa na meno ya tembo au nyara za serikali anashinda vp kesi? au kwa nn kesi inachukua miaka kadhaa si ndio mwanya wa rushwa huo?
ni kwamba watu haswa waTZ wenzangu TUBADILIKE, kama ulikua mtu wa deal acha
tuachie rais wetu afanye kazi bwana, huyu ni rais wa mfano
Umenena mkuu. Hivi kweli case ya mtu kashikws red-handed na nyara za serilaki kisha case inachukua miaka kusikilizwa kweli inaeleweka? Wakati mwingine watanzania hatueleweki tunalamikua vitu viko wazi kabisa. Ushahidi gn unahitajika zaidi kwa suala kama hili kama sio ku create mazingira ya rushwa tu.rafiki,