swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,250
- 1,467
Mwaka jana wakati wa kampeni baadhi ya wana siasa walisema huwenda Mh Magufuli akawa na dalili za u-dictator na Mabavu lakn sasa naanza kuona dalili tofauti na matumaini ya watanzania ya kuona akiendelea na speed ya kuimarisha uchumi lakn sasa mfumo anaokuja nao utamfanya aporomoke ghafla na kwa kasi na watu kukata tamaaa.Ikumbukwe wananchi wanategemea sana viongozi wa chini maana wao ndiyo watekelezaji wa maelekezo ya wakubwa sasa wameanza kutishwa nao na mfumo.
Utawala wa Mh unatengeneza umasikini tofauti na alivyoahd kuboresha uchumi kwa sasa wananchi wanataka kuamini kila mwenye pesa,viwanja na mali mbalimbali kwa kiasi kikubwa ni fisadi na mwizi hawaambiwi kuwa mfumo wa sheria unaoruhusu mishahara mikubwa kwa baafhi ya watu umeruhusu hayo lakini pia unapozungumzia kipato cha kati ni lazima wawepo wenye kipato watakaofanya huduma na shughuli zabkipato cha kati tukumbuke serikali haifanyi biashara km kujenga viwanda inategemea wenye nacho wawawezeshe masikini setikali iweke mfumo wezeshi kwa wote na kwa nafasi zao.
Pia Kwa swala la hukumu dhidi ya kesi mbali mbali Mh naona udhaifu:-
Kwanza naona haki kutotendeka mahakamani na vyombo vta kutoa haki km polisi n.k.Mf.Anasema mtu akikamatwa na haramu red-handend ahukumiwe moja kwa moja lakini amesahau kuwa kila mtu ana haki ya kujitetea na haki ta kusikilizwa je siku moja au mbili zinatosha kwa mahakama kujiridhisha?na je red handed zipo za aina ngapi?na je nikikutwa na meno ya tembo nikiwa kama mbebaji ninaejitafutia ujira kutoka kwa mwenye mzigo na mwenye mzigo hayupo nifungwe?
Mfano wamesema kuna hakimu ameshughulikia na kuamua kesi 600-700 je huyu hakimu alikuwa km anaita majina km mwl darasani au hatua zote za kesi zilifuatwa? Mwaka unaa siku 365/6 siku za kazi ni jumatatu to ijumaa ukiangalia km hakimu hakwenda likizo mwaka mzima atafanya kazi siku 194 kama hakuugua kabisa sasa kwa kila siku huyo hakimu alikuwa anapokea ama anadikiliza na kuamua kesi takribani 3kwa siku na kwa wiki kesi 15? Is this possible?
Lakini pia rais amesema km hizo kesi zikimalizika serikali itaingiza takribani 1tr yaani tirioni moja sawa ba bil.1000! Najiuliza rais anajuaje kama watashindwa watuhumiwa? Je mahakama zilushafanya tathimini kabla ya kuzisikiliza na kama zilisikizwa walishindwa nn kuziamua mpaka wapewe pesa?
Kwa kawaida mshitaki na mshitakiwa huwa na haki ya kuwa na mawakili wapo wa serikali na wale wa binafsi,je washtakiwa wakishinda rais atawadai mahakama hizo pesa?Ikumbukwe jamhuri hushinda kesi chache mno ukilinganisha inazoshindwa.
Lakini pia rais amesema upelelez unachelewa na kwamba kuna kuwa na harufu ya rushwa! Je Takukuru si ndio wasemaji wa hilo!! Na je sheria zinasemaje?mtu ajukumiwe baada ya mahakama kujiridhisha beyond reasonable doubt,sasa kulingana na maelekezo yake abataka vyombo vya upelelezi vifuate anavyotaka si taalumu! Itakuaje kesi inayohitaji vielelezo!!Mahakama inatakiwa kumwomba vielelezo mshitakiwa/mshitaki mara tatu kwa kila hatua isipungue siku sita ukiangalia. Mda wa kusubiri vielelezo ni 18 ukiacha kuanza kutajwa na kuamliwa baada ya vielelezo.
Sisemi kwamba anachosema ni kibaya ila hakitekelezeki na hakupaswa kueleza hadharani ama angesema kwa lugha ya kusihi.
Sasa anaonekana anataka kuambiwa maneno yansaompendeza ndiyo atoe pesa na ndicho kilichofanywa na kada zingine zitaiga ni bora awe makini huwenda taasisi zingine zikitaka pesa zitamfurahisha kwa jambo hata km haliwezekani ili mradi tu atoe pesa.
Pia ktk kikao cha kamati ya ccm alisema yeye ni rais wa wanaccm na hakuna chama kingine kitakachoongoza nchi hiibkamwe.Nashangaa lakn nakumbuka mh. Huwenda amejaa visasi dhidi ya upinzani.
SWALI LA MSINGI:
Nini kitatokea endapo hakimu atashinikizwa kuhukumu keso zaidi ya uwezo wake.
Hii ni taaluma inahitaji motivation siyo vitisho na mashinikizo.