Pole na hongera,huyo ni mwanaume sahihi,kikubwa jifunze kuwasoma watu,kuna wengine wanapenda kuonekana ivo,although wanajua nini wanafanyaNdio lakini sikumpa, anachonikera analialia njaa kila uchwao shida yeye hazimuishi
Sio kweli,umegeneraluzed TABIA kwa wotePole sana dada. Mwanaume ambaye awezi kuwajibika mwanzoni mwa mahusiano huyo atakusumbua mbeleni. Wanaume wengi kipindi hiki wanapenda kuhudumiwa. Fikiria mwanaume anatafuta mchumba wa kuoa anaulizia anafanya kazi gani? za kuambiwa changanya na zako. Atakusumbua mbeleni.
Fanya maamuzi mapema.
Unajua kama hujaelewa, inabidi uulize kuliko kukurupuka na kuchangia.wacha ujinga wewe,,,, ushapata bwana mwingine unatafuta sababu........juilize mmetoka wapi,,, je ni sahihi kwao ana majukumu........mipango yenu ya baadae kwa pamoja mmeipangaje,,,, au umemwachia yeye apange maana ndo katabia kenu........unafikiria hapa ndo penye suluhisho?????.....jipange dada.....ndoa ni maisha na sio utegemezi........utakimbia wangapi jiulize.......watakuchovya wangapi???? umejichunguza na wewe mwenyewe????
Huyo kapenda pochi yako tu, atakufuja.
Hapo hajaenda kutoa posa anakubambikizia majukumu, akikuoa si ndio atakuachia kila kitu?
Kwa hiyo hayo majukumu ya familia yao wewe ndio wakuyatafutia suluhisho?
Kwani huyo jamaa yake mnam,fahamu mpaka mseme kamtangazaWanawake waliofundwa kwa sasa ni mabibi
Mwanamke alifunzwa hawezi kusema madhaifu ya mwenzio wazi kamweee zaid huenda kwa watu maalum kuomba ushauri
Wanawake wa kutaka mapenzi pia kwa sasa ni mabibi
Mwanamke wa kumuoa huwaza mapenz kwanza je atakapoolewa atapendwa?
Angalia wa kisasa wanawaza PESA kwan mtu adi akuoe anashindwaje kuhudumia basic needes?
Mabibi waliolewa enzi hizo kwa shidaa wakiangalia mapenzi na wamedumu adi leo wajukuu tumekuwa wababa
POKEA ushaur wa wengi kuwa umuache maana ushaonekana.