Nina mapungufu gani?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Habari za sahizi humu jamvini.

Nilikuwa naomba ushauri wenu,Nimejikuta napenda sana kula vitunguu mbichi kupita kiasi,yaani hii imeanza mda mrefu,kila ninapokula chakula huwa lazima nikatekate kitunguu mbichi au sometimes napenda sana kula kachumbari ila kuwe na vitunguu kwa wingi au vitunguu peke yake,ninapotumia kitunguu na chakula kingine yaani najihisi vizuri au nashiba vizuri.

Mnaweza kunisaidia nina mapungufu gani mwilini na je kuna athari nitakazopata?
 
He he he hata miye kipindi fulani nilikuwa na tabia hiyo.sina uhakika kama ni kwaajili ya upungufu gani.nilikuja kuacha baada ya mdoma na haja kubwa kunuka harufu ya kitunguu all the time
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom