Nina laki nne nataka laptop

3squere

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
925
181
Kama unayo tuwasiliane au weka details zake hapa
Cm 0756669331
email prosper.kiwaly@gmail.com
Au n pm
 
Hapo kwenye webcam utata, but kuna jamaa anauza used kwa 450,000.
Kijitonyama Kijenge Road,
ukitokea Sayansi kuelekea Alimaua, kabla ya daraja upande wa kulia.
 
Hapo kwenye webcam utata, but kuna jamaa anauza used kwa 450,000.
Kijitonyama Kijenge Road,
ukitokea Sayansi kuelekea Alimaua, kabla ya daraja upande wa kulia.

Naomba contact zake tafadhali
 
Used Dell latitude D630, 1gb RAM. 120GB HDD. DVD. kwa No Camera No bloutooth. kwa 400,000/ We can offer you an external camera
 
mkuu ninayo TOSHIBA SATILITE 450,000 tuu.Sifa hard disk 160 Ram 2GB,processor 2GB...DUO CORE...TUWASILIANE FASTA KABLA MIZUKA HAIJAGOMA 0714812375
 
Hapo kwenye webcam utata, but kuna jamaa anauza used kwa 450,000.
Kijitonyama Kijenge Road,
ukitokea Sayansi kuelekea Alimaua, kabla ya daraja upande wa kulia.

Precisely, hapo nilishachukua mbili mwaka jana na zote bomba mpaka leo. Jamaa yuko fit anatoa na guarantee.
 
Back
Top Bottom