Kuna duka nalifahamu k'koo nilimsindikiza broo kununua desktop nzuri kabisaaaaa. ila Dell CPU (hhd=120GB, Intel processor sikumbuki vizuri ila ni >=2 GHz, na RAM pia sikumbuki vizuri ila >= 2 GB) na keyboard ni 150,000 kiwango kabisa! Monitor ni 90,000, hivyo desktop kamili 240,000. Hii ilikuwa mwezi wa tano. Sijajua kama kutakuwa na mabadiliko. Kwa laki uliyonayo ndugu yangu utapata CPU tu tena ambayo ni kiwango cha chini. Nakushauri uongeze pesa upate machine nzuri na ya kukaa muda mrefu. Sijajua kama unayo monitor (screen), na keyboard pamoja na waya zake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.