mkuu! Nenda madukani!
Kwa utaratibu huu wezi watakoma kweli?
Me ninazo ila za nyuma
aisee jf akuna wezi
Aisee we ni zaidi ya GT! Unatufahamu wote hapa JF!?! Hoja hukueleza kwanini maduka hayajapewa nafasi? Naiamini JF lakini siwezi kumwamini kila member. Ukiletewa usisahau kudai risiti.
maduka wauzaji ni watu au sio? na jf members ni watu au sio? by the way hata gari nilinunua humu humu jf