Nina kuheshimu sana Mtikila!

Nina kuheshimu sana Mtikila!

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2009
Posts
6,157
Reaction score
4,454
Umechangia mabadiriko katika nchi yetu, Bila wewe Watanzania bara mpaka leo hii tungeendelea kuonyesha Passport ili kuingia Zanzibar. :clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
 
Umechangia mabadiriko katika nchi yetu, Bila wewe Watanzania bara mpaka leo hii tungeendelea kuonyesha Passport ili kuingia Zanzibar. :clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:

1. Muasisi wa mgombea Binafsi
2. Muasisi wa Utanganyika
3. Ma********* lazima waende
4. Shujaa shupavu asiyeogopa lolote
BIG UP Rev. Christopher Mtikila.
 
usikate tamaa mchungaji tunasubiri kuona tunapata Tanganyika yetu
 
Huyu jamaa yuko wapi? Hajasikika mda mrefu sana rev mtikila!!!
 
1. Muasisi wa mgombea Binafsi
2. Muasisi wa Utanganyika
3. Ma********* lazima waende
4. Shujaa shupavu asiyeogopa lolote
BIG UP Rev. Christopher Mtikila.

Ajasikika sikunyingi huyu mchungaji 'jembe' wa Tanganyika. Hebu jitokeze utupe mawazo yako juu ya katiba mpya. Hiki ni kipindi muafaka kwa watu wa muhimu kama wewe mtikila. Hoja zako zina mashiko kwa sasa.
 
Ameishiwa bt alikuwa na good vision,ila ukimuita chemba hakawii kukubaliana na wewe.
 
huyu mtu hajasikika siku nyingi sijui yuko wapi

Siasa mchezo mchafu sana ndugu yangu. Kwani akina Maige walijua ipo siku watapata frustration kiasi hiki?
 
Wahindi a.k.a Magabac....li wamemunyamazisha. Ngoja tusubiri ataibukia wapi
 
Na ijulike ndiye mwasisis wa kauli ya Magabachori!
 
Toka Rostam alipomuumbua kwenye media kwa kumuonesha vimemo ambavyo alivitumia kuomba pesa toka kwake ilhali Mtikila anadai pesa yake ni chafu na ya kifisadi basi mzee wangu Mtikila akaingia mitini.
Naomba nikiri tu kwamba hakika nakuamini kama mwanaharakati wa ukweli nchini Tanzania.
Bravo!
 
He's a character, and could probably have some inputs in these gutter politics.

Amekosa spine ya kusimamia hoja zake, nadhani ni kutokana na hili la "kuitwa chemba na kuwekwa sawa". Ndio maana ni muhimu kudili na hoja na sio watu, hoja zake nyingi ni nzuri.
 
Njaa zilikuwa zinamsumbua. Mbona wakati ule kulikuwa hakuna kesi nying kama siku hizi? Mbona angekuwa na kesi nying sana ila wamemtuliza kia RA.
 
Back
Top Bottom