Nina kizazi

viva2011

New Member
Apr 11, 2011
2
0
Mama mkwe mpenda kuharibu ndoa ya mwanae kaenda kutibiwa nyumban kwa mwanae,bahati nzuri kamkuta mkwe wake mjamzito.....maroa miez imepita mtoto wa mwanamke mwenzie kajifungua dume la mbegu..mama mkwe akaanza visa..mtoto c wa mwanangu huyu,,mke wa jamaa akakaa kimya kisha akamjibu.."samahani mama mimi nina kizazi sina photocopy mashine" ...haha ahhahahahahahah
 
..mtoto c wa mwanangu huyu,,mke wa jamaa akakaa kimya kisha akamjibu.."samahani mama mimi nina kizazi sina photocopy mashine" ...haha ahhahahahahahah

pole mama kichanga, huna mama mkwe. mfanyie vitimbwi mpaka aondoke kula la leki
 
Back
Top Bottom