Nina kiwanja Kimbiji, Kigamboni natafuta mtu wa kubadilishana naye kwa Madale, Goba au Mvumoni

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,395
As per heading above. Nina kiwanja Kimbiji eka moja. Natafuta mtu wa kubadilishana naye kwa upande wa Madale, Mvumoni au Goba. kwa kuwa napenda kukaa maeneo hayo tajwa basi sitoangalia ukubwa kivile as long as nitaweza kuweka mjengo wangu wa maana na magari zaidi ya 5 kupaki kwa ndani.
 
Hicho Kiwanja chako cha Moro Mindu kimepimwa?
MKURABITA wanaanza upimaji wa eneo soon. Ilibidi waanze wiki mbili nyuma ila wakazi walienda kulalamika gharama ya sh 300k cz waziri alisema gharama iwe ni tsh 250k.
So kipo ktk mchakato
 
Back
Top Bottom