Dsm - Dony
New Member
- Jun 15, 2016
- 3
- 0
Jamany watu wangu wa nguvu naitwa mwalimu Mahamba nipo manispaa ya Tabora idara sekondari ,natafuta MTU wa kubadilishana naye mm nije busokelo na yy aje tabora,naomba kama kuna MTU unamjua nifikishieni ujumbe huu kwa mtu unayemjua anataka kuhama