Nina kidonda karibu na haja kubwa

kid ink tz

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
307
320
Ni mwaka sasa tangu ichi kidonda kinipate.

Kilianza kama jipu karibu na sehemu ya aja kubwa. Baada ya siku mbili kikawa kikubwa uku ndani kikiwa na usaha. Nikaamua kwenda hospital na kuni angalia wakasema ni jipu.

Nilipewa dawa za kutuliza maumivu na za kufanya liive halaka ili nipasue. Baada ya kutumia lika iva ila kupasua nikawa naogopa ndipo usiku likapasuka lenyewe na kutoa usaa wote.

Baada ya hapo lika jitengeneza kidonda kidogo sana ambacho kilikuwa kina nipa maumivu sehemu ya aja kubwa na kutoa usaa mda wote. Nimeenda hospital wananipa dawa lakini hakizibi na maumivu yanazidi huku usaa ukizidi kutoka.

Naomba ushauri Wa dawa ili niweze kupona.
 
Mkuu ni hospital gani ulienda? Nenda hospital kubwa kubwa uchukue vipimo vya kueleweka.
 
Ulivuopewa dawa hujarudi tena mwaläka mzuma kweli jamani unatojwa na hasa Mekka mzima pole sans rudi kawaone wajuzi zaidi
 
Ulivuopewa dawa hujarudi tena mwaläka mzuma kweli jamani unatojwa na hasa Mekka mzima pole sans rudi kawaone wajuzi zaidi
Nilikua naenda kalibu Mara tano wananipa dawa lakini hakuna mabadiliko yoyote
 
Pole mkuu, probably una perianal fistula tiba yake opasuaji + antibiotics unapona kabisa. Nenda hospital kamuone daktari wa upasuaji atakusaidia.
 
Back
Top Bottom