Msaada: Nina tatizo la uvimbe kwnye mfereji wa haja kubwa

ngorombo

Member
Jun 7, 2019
60
200
Habari Wana jamvi naombeni msaada wenu, Nina tatizo la uvimbe kwenye Mfereji wa haja kubwa ( Mlangoni kabisa).

Nimevumilia maumivu yamezidi kuwa makali; wakati wa kukaa, kutembea na mbaya zaidi nikiwa toilet kwa short call na long call.

Kilianza kiupele kidogo ambacho maumivu yalikuwa sio makali hivyo na sikutilia maamani

Nitumie dawa gani niweze kupona au tatizo litakuwa ni nini? Naombeni msaada wenu.
 
Unepona mkuu ? Nisaidie
 
Hiyo ni bawasiri!! Bila shaka umeshapata tiba stahiki.
 
Back
Top Bottom