Nina kadi ya CCM lakini wananiita CHADEMA

donimuya

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
272
Reaction score
55
Jana katika stori na rafiki yangu, alikuwa akilalamika eti.

Kila wazo ninalotoa wanaseme hata siyo bure huyu CHADEMA/UKAWA.

Wanafunzi wanachangishwa madawati kila mmoja 80,000/= lakini hayanunuliwi ukishauri basi kila mtoto aje na dawati badala ya fedha utasikia ah huyu CHADEMA.

Maabara hazijengwi yanaunganishwa madarasa yaliyopo na kupakwa rangi kisha wanasema wamejenga maabara mpya ukihoji eti oh huyu UKAWA.

Kila mwanafunzi wa kidato cha kwanza takribani wanafunzi 500 kila mwaka anatozwa 100,000/= ya jengo la darasa. madarasa hayajengwi na machache yaliyojengwa yanabomoka ukihoji wanasema huyu CHADEMA.

Watu wanapiga pesa kama hawana akili nzuri sasa hoji watakuita UKAWA.

NIMEJIFUNZA JAMBO KUBWA SANA.

Matatizo ya nchi hii yanasababishwa na mfumo wa CCM, na UKAWA ndio dawa. jamaa aliposikia nilichojifunza toka kwake akachana kadi ya CCM palepale japo wenzake inawasaidia kuhongwa t shirt, kofia na vijisenti na sasa anasubiri OKTOBA kuiondoa CCM.
 
Sasa, haohao unaowalalamikia wamehamia ukawa, unadhani wamebadilika?
 
Hayo mawazo yako subiri kupiga kelele wenzenu wanagawana bilioni kumi nyie mmshupaaa
 
Waliyogawana kupitia escrow,epa,ttcl nk.wewe ulimegewa sh.ngapi?
 
Jana katika stori na rafiki yangu, alikuwa akilalamika eti.

Kila wazo ninalotoa wanaseme hata siyo bure huyu CHADEMA/UKAWA.

Wanafunzi wanachangishwa madawati kila mmoja 80,000/= lakini hayanunuliwi ukishauri basi kila mtoto aje na dawati badala ya fedha utasikia ah huyu CHADEMA.

Maabara hazijengwi yanaunganishwa madarasa yaliyopo na kupakwa rangi kisha wanasema wamejenga maabara mpya ukihoji eti oh huyu UKAWA.

Kila mwanafunzi wa kidato cha kwanza takribani wanafunzi 500 kila mwaka anatozwa 100,000/= ya jengo la darasa. madarasa hayajengwi na machache yaliyojengwa yanabomoka ukihoji wanasema huyu CHADEMA.

Watu wanapiga pesa kama hawana akili nzuri sasa hoji watakuita UKAWA.

NIMEJIFUNZA JAMBO KUBWA SANA.

Matatizo ya nchi hii yanasababishwa na mfumo wa CCM, na UKAWA ndio dawa. jamaa aliposikia nilichojifunza toka kwake akachana kadi ya CCM palepale japo wenzake inawasaidia kuhongwa t shirt, kofia na vijisenti na sasa anasubiri OKTOBA kuiondoa CCM.

Wewe ni mtu mwenye upeo mkubwa wa kufikiri sio mtu wa kuitika ndio ndo maana wanakuona uko tofauti, hata bunge ukiangalia kuna miswada ambayo ikijadiliwa ccm hawaoji inakuwaje hapo wao ni kuitika ndio ili mswada upite lakini wapinzani especially wabunge wa ukawa lazima wahoji kwa kina hawakubali kila kitu bila kuelewa imekujaje.WITO: KIMBIA FASTA TOKA NDUKI WE KIMBIA UKIANGUKA UKIUMIA INUKA VUMILIA, HAPAKUFAI UKO CHOMA KADI HIYO UINGIE KWENYE KUNDI UNALOFANANA NALOOOO.
 
Jana katika stori na rafiki yangu, alikuwa akilalamika eti.

Kila wazo ninalotoa wanaseme hata siyo bure huyu CHADEMA/UKAWA.

Wanafunzi wanachangishwa madawati kila mmoja 80,000/= lakini hayanunuliwi ukishauri basi kila mtoto aje na dawati badala ya fedha utasikia ah huyu CHADEMA.

Maabara hazijengwi yanaunganishwa madarasa yaliyopo na kupakwa rangi kisha wanasema wamejenga maabara mpya ukihoji eti oh huyu UKAWA.

Kila mwanafunzi wa kidato cha kwanza takribani wanafunzi 500 kila mwaka anatozwa 100,000/= ya jengo la darasa. madarasa hayajengwi na machache yaliyojengwa yanabomoka ukihoji wanasema huyu CHADEMA.

Watu wanapiga pesa kama hawana akili nzuri sasa hoji watakuita UKAWA.

NIMEJIFUNZA JAMBO KUBWA SANA.

Matatizo ya nchi hii yanasababishwa na mfumo wa CCM, na UKAWA ndio dawa. jamaa aliposikia nilichojifunza toka kwake akachana kadi ya CCM palepale japo wenzake inawasaidia kuhongwa t shirt, kofia na vijisenti na sasa anasubiri OKTOBA kuiondoa CCM.

kwani ulishatoka bawacha tangu lini ukawa ccm.
 
bora umempa ukweli
maana hawa BAVICHA wameshaambiwa na Lowassa kuwa wataondolewa umaskini na kujazwa utajiri wawe kama Mengi
akili ya mtu mwenye Digrii ya Usanii toka UDSM anawahadaa watu kuwa anauchukia Umasikini heri ya Marekani kuna Matajiri wengi, kusha akamega 10Bn kwanini wasimpokee ili watunishe mfuko wa saccos?
 
Umenikumbusha ktk ligi ya ufaransa refa aliambiwa unafanya maamuzi kama mwafrika japo kuwa alikuwa ni mzungu mwenzao hata wewe nakushauri nawa uso uone mbele
 
Back
Top Bottom