Nina huzuni..

The Dude

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
1,029
453
Dah sijui hi thread niweke wapi lakini kiukweli mwenzenu nina huzuni.
Everything seems to be working against me.
1.Niko chuo,continuing student lakini mkopo wangu hadi sasa haujaja na leo nimeshinda njaa.kesho namwachia Mungu. wenzangu majina yamekujay mimi tu langu eti limemis bodi nawafuatilia wanadai wao wanajua kazi yao.
Kama ujuavo chuo assignments kibao siwezi kuprint hela sina,research supervisor anataka chapter 2 nirekebishe nimrudishie but i can‘t print am dead-broke!

2.My girlfriend haeleweki tena,sasa hata simuoni na ananiavoid,text hajibu wala hapigi simu.Last time nimeongea nae kasema she wants to get married in 2years time tena na mtu anaejielewa.Najua si mimi coz anajua am too young to marry by that time.

3.Marafiki siwaelewi,boom limetoka kila mtu yuko bize.
4.I can‘t bank my hopes home kwa kuwa hali ya huko naijua mwenyewe.
5.Nimechoka kukopa na wakopeshaji wamenichosha.
6.ninavowajua bodi mpk pesa yangu ije inaeza chukua hata mwaka koz i had similar problem in 1st year and only god knows how i starved and toiled mpaka bum langu kuja.

I am just sad..
 
Na ukaamini kabisa huku ndio utapata majibu? be serious mkuu...jitahidi kufuatilia mkopo wako utaupata tu...
 
Najua huku hamna majibu am just sharing my plight so that people know what goes on in campuses...mkopo naendelea kufuatilia sema precedent inaonesha kuna ujanja ujanja na inefficiency sana bodi ya mikopo..
 
Mkuu si kuna serikali yenu? kwanini usibanane nao?
 
Tayari nimewafikishia lakn wanadai nao washafikisha bodi..kuna habari pia bodi haina hela kwa sasa na zilizopo hazitoki tu kirahisi eti hela ina utaratibu wake kutolewa!As though it matters to me!Wat matters is the fact that i‘m a continuing student,nina sifa na nilikua napata mkopo hata last yr..nini kosa langu?
 
Pole ndugu yangu kuna watu wanafanya kazi za part time na kusoma kama unaweza kupata mahali na haisumbui sana ratiba jaribu kupata,ili usiwe tegemezi hata kama ni kufundisha katuishen kidogo,
 
Duh pole sana mkuu sasa mwaka jana uli-survive vipi mkuu labda tumia hizo hizo mbinu au tupe mbinu ulizotumia first year ili wengine na wenyewe waweze kutumia mbinu kama zako ulizotumia ili nao waweze kusukuma siku..

Duh pole sana mkuu itabidi labda uendelee kuongea na wadau, jamaa, marafiki na wahisani wengine.
 
Kwa hyo huyo galfrd wako ulikua unampgia ili nae umkope au ni mim ndo sijakusoma mkuu?
 
Khs girlfriend nlikua nazungumzia tu ni sababu nyingine ya mm kuwa na huzuni. At this time skutegemea km mtu wa karibu kama yeye kuact anavoact yeye..she looks down on me..
 
Pole ndugu yangu kuna watu wanafanya kazi za part time na kusoma kama unaweza kupata mahali na haisumbui sana ratiba jaribu kupata,ili usiwe tegemezi hata kama ni kufundisha katuishen kidogo,

Shule(kozi) yangu ni ngumu sana inahitaji a lot more time na dedication..hataivo niko tayari kucompromise GPA alimradi niishi sema hata hizo part time job hazipatikani..
 
Duh pole sana mkuu sasa mwaka jana uli-survive vipi mkuu labda tumia hizo hizo mbinu au tupe mbinu ulizotumia first year ili wengine na wenyewe waweze kutumia mbinu kama zako ulizotumia ili nao waweze kusukuma siku..

Duh pole sana mkuu itabidi labda uendelee kuongea na wadau, jamaa, marafiki na wahisani wengine.

Mbinu ni kununua jiko la mafuta na kuanza kupika room japo ni hatari koz chuo hawaruhusu kupika incampus na tena muda kubalance kazi,isitoshe inafka mahala huna hata hela ya mafuta wala ya vitu vya kupika.

Mbinu zaidi ni kuwa kichwa na kuwafundisha na kuwafanyia assignment mabinti na vilaza kwa ujira duni.. Pia kuwafanyia research watu na tena kuwa kama secretary nina speed so natype assignment za watu rum kwa ujira flani..well,na kukopa na kuwakwepa wadai sugu..na marafiki wachache wenye huruma husaidia
 
Dah sijui hi thread niweke wapi lakini kiukweli mwenzenu nina huzuni.
Everything seems to be working against me.
1.Niko chuo,continuing student lakini mkopo wangu hadi sasa haujaja na leo nimeshinda njaa.kesho namwachia Mungu. wenzangu majina yamekujay mimi tu langu eti limemis bodi nawafuatilia wanadai wao wanajua kazi yao.
Kama ujuavo chuo assignments kibao siwezi kuprint hela sina,research supervisor anataka chapter 2 nirekebishe nimrudishie but i can‘t print am dead-broke!

2.My girlfriend haeleweki tena,sasa hata simuoni na ananiavoid,text hajibu wala hapigi simu.Last time nimeongea nae kasema she wants to get married in 2years time tena na mtu anaejielewa.Najua si mimi coz anajua am too young to marry by that time.

3.Marafiki siwaelewi,boom limetoka kila mtu yuko bize.
4.I can‘t bank my hopes home kwa kuwa hali ya huko naijua mwenyewe.
5.Nimechoka kukopa na wakopeshaji wamenichosha.
6.ninavowajua bodi mpk pesa yangu ije inaeza chukua hata mwaka koz i had similar problem in 1st year and only god knows how i starved and toiled mpaka bum langu kuja.

I am just sad..

Huko kwenu mlichagua chama gani?

Hivi siyo nyie mliomchangia Rais wenu hela za kuchukulia fomu?

Huo ndo mshahara wenu mnaostahili! Pole sana!
 
Mbinu ni kununua jiko la mafuta na kuanza kupika room japo ni hatari koz chuo hawaruhusu kupika incampus na tena muda kubalance kazi,isitoshe inafka mahala huna hata hela ya mafuta wala ya vitu vya kupika.

Mbinu zaidi ni kuwa kichwa na kuwafundisha na kuwafanyia assignment mabinti na vilaza kwa ujira duni.. Pia kuwafanyia research watu na tena kuwa kama secretary nina speed so natype assignment za watu rum kwa ujira flani..well,na kukopa na kuwakwepa wadai sugu..na marafiki wachache wenye huruma husaidia

Mkuu nakubaliana na wewe kila kitu kasoro issue moja... hivi unajua kupika kwa mtu mmoja kunaweza kukawa kuna cost zaidi kuliko kula nje... (nadhani mkiwa watu kama watano ) ndio mna-save lakini sio mmoja; naomba tufanye hesabu ya kujipikia kwa mwezi ni kiasi gani na kununua menu kwa mwezi ni kiasi gani (kwa mtu mmoja) ili tuone kama kweli kuna savings zozote..

Kuhusu kujishughulisha na ajira hapo nakubaliana na wewe, sasa kwanini usifanye tena hivi na mwaka huu na kama umeshapata soko na wanakujua kwamba wewe ni kichwa jaribu kununua hata second hand inkjet printer utakuwa unafanya refills unajaza wino una-print kazi za watu ninajua vijana wengi wanafanya sana hii kitu tena wanachaji hata tshs mia kwa page wakati wa research wanatengeneza pesa nzuri tu.
 
Pole sana kijana,jaribu kwenda kuwaona viongozi wa dhehebu lako ulipo,uwaelezee matatzo yako thn wao watapitisha mchango kama ni kanisani au msikitini then maisha yatasonga mbele..lakin hii principle inahitaji mtu asiye sharobaro,inahitaji mtu aliye seriouz na maisha kikwel,nimeshuhudia wengi wanafanya hvo na wamefanikiwa.
 
Mkuu nakubaliana na wewe kila kitu kasoro issue moja... hivi unajua kupika kwa mtu mmoja kunaweza kukawa kuna cost zaidi kuliko kula nje... (nadhani mkiwa watu kama watano ) ndio mna-save lakini sio mmoja; naomba tufanye hesabu ya kujipikia kwa mwezi ni kiasi gani na kununua menu kwa mwezi ni kiasi gani (kwa mtu mmoja) ili tuone kama kweli kuna savings zozote..

Kuhusu kujishughulisha na ajira hapo nakubaliana na wewe

Yah ni gharama nakubali..ila advantage yake ni kuwa una uhakika wa kula koz ukipata hela kdogo unanunua stock ya kutosha..
Pia unajua unaeza pika wali mwingi usiku ukala kesho yake kiporo chai na mchana ukala tena hicho hicho..usisahau tu kupasha asubuhi.
Then mboga unanunua mchicha fungu sh. Hamsini siku imeisha..
 
Back
Top Bottom