Habari ndugu,nina pikipiki tajwa apo juu ni honda transalp piston 4,cc600 na ina kimbia speed 200/hr,naitaji gari ndogo kwa sasa,picha ni kama hii apa japo sio picha yake halisi,nikirudi home nitaweka picha zake,nilikua naitumia kwendea safari ndefu tu mwz arusha make ndo home uko.so mara nyingi inapaki ,.kama unagari ndogo nitafute tufanye biashara