Nina hasira mtoto wa jirani amechora bodi la gari yangu

Jizoeze kupuuza, hukuweka katika hali nzuri kuliko kusamehe, juna siku utakosa wa kuomba msamaha, utaumia sana rohoni.
 
Nilikuwa nimeegesha huko nje,Si unajua tena maisha yetu huku uswahilini tumebanana sana .

Nilipotoka nje nikamkuta mtoto wa jirani yangu ameshika msumari anachora bodi la haka kagari kangu ambako nimekanunua kwa shida kweli kweli. Moyo umeniuma.

Nimeshindwa nimfanye nini huyu mtoto maana ni mdogo sana, ana umri kama miaka 5 hivi.

Usawa ni mgumu sana kwa sasa ,inabidi nikomae nitafute pesa ya kurudishia rangi.

Nimewaeleza wazazi wake wameishia kuniomba radhi tu.

Hahaa'aa a umekanunua juzijuzi tu eeh, pole aisee ukute mwenyewe unakaoshaga kilasikuu hahaaaaa
 
Samehe bure hajui afanyalo.Kikubwa waambie wazazi wake Acha hiyo wengine wanatoa upepo tairi mimi mwenyewe shafanya hivo utotoni.
Iko hadithi moja baba mmoja kanunua benz mpya.
Siku moja mtoto wake kachua msumari kaandika kwenye gari yake. Kwa hasira kachukua beleshi kaiponda vidole vyake ikapelekea vikakatwa hospitali.
Siku moja hospitalini mtoto akamuuliza baba ni lini vitaota vidole vingine?
Baba kashikwa simanzi akaamua kwenda kusoma mtoto alichoandika akakuta maneno Baba mi nakupenda sana.
Baba alijuta sana kwa alichofanya
Yule baba siku ya pili alijinyonga akaacha ujumbe mwanangu nisamehe ni hasira hilo gari litakuwa mali yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa ujumbe mzuri.

Niliwahi soma andiko kama hili siku kadhaa zimepita. Nimshauri tu huyu ndugu yetu kuwa yule mtoto alimaanisha kitu akilini mwake wakati anachora ambacho naamini hakikuwa na nia ya kufanya uharibifu.

Msamehe na mfanye awe rafiki.
Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umewaachia mwenyewe, ulitakiwa uwaambie walipe gharama utakapopeleka au watakapotaka upeleke.
 
Wewe ni masikin wa kiwango cha lami.

Na maisha uliyakutia ukubwan, yaaan namanisha ni moja ya kijana ulohangaika sanaa nakama kusoma ulisoma ukijua bila kusoma maisha yatakua magumu.

Ndio maana umeshikwa na mshangaona kuumizwa sana.

Au unahisi ametumwa!!?? ... Hawa ni watoto tu na kwa 2-5 yrs ukorofi unakua mwingi sana .

Sasa ili nalo linakutia hasiraa mpaka unataman Kuua

Ukigongea mke ,na ukajua kagongwa, utahimili??? Siutajinyonga.

The Devil puts a spoonful of honey into neighbor's Wife
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom