kazi naanza Januari 15.
Niko huku Makunduchi kuna mkesha wa KIDUMBASI na MSEWE, mie iko chumbani nimejifungia nimechoka kucheza
Mie napita tu usiku huu, lakini ningeahidiwa tende ningebaki!Nina hamu ya kukesha leo, mtu yeyote asiye na usingizi aje hapa tukeshe mpaka majogoo tukipiga soga
Karibuni kibarazani, hapa nina tende na halua na kibirika cha kahawa pembeni
kwani una weza kucheza ngoma gani weye
wengine uliowataja wanaboresha ndoa muda huu...
sipati picha, jinsi wanavyoning'inia kama vile wanapanda kwenye mikarafuu
kwa raha zao.
mbona wenzetu wanafaidi, lakini kwa wale wa Dar na hili joto, labda kama wana kiyoyozi, lakini kama ni wenzangu na mie hilo gwaride wala feni halifai kitu