Kila mara nyingine tunakumbushana tu; tatizo letu wewe na mimi na wengine wote; linajitokeza katika haya uliyo andika katika mstari huu.Hivi kweli nchi hii tuna watu wenye upeo mdogo kiasi hiki? Siamini na wala sishawishiki kuamini kwamba Rais alikuwa anayatarajia hayo.
Kila mara nyingine tunakumbushana tu; tatizo letu wewe na mimi na wengine wote; linajitokeza katika haya uliyo andika katika mstari huu.
Kuna sababu zipi zinazokufanya wewe usiamini kuwa hayo yanayofanywa na hao watu siyo matakwa yake mwenyewe yafanywe!
Hawa watu wote wanashindana wenyewe kwa wenyewe kuonyesha upumbavu anaouhimiza mtu mwenyewe, sasa ulitaka wafanye kinyume chake?
Siku Samia akionyesha tu dalili za kuwa upumbavu huo hautaki, hutawaona tena hao watu wakipigana vikumbo kufanya hayo wanayo yafanya sasa hivi
Nimalizie kwa kusema kuwa inawezekana Samia mwenyewe kisha hitimisha kwamba waTanzania ndiyo hayo tunayo yapenda, ya kumtukuza kama kimungu fulani, na kwamba hali hiyo ndiyo njia itakayomwezesha kuendelea kutawala hawa wapumbavu.
Angetambua kwamba kuna waTanzania wanaodharau ujinga huo asingeendelea kuukumbatia na kuuruhusu kila mahali.
Hivi waTanzania kweli ni wapumbavu kama anavyo dhani yeye?
Watu wa mwanzo kabisa kuwatafuta na kuwavuta kwake mara tu baada ya kuchukua uongozi walikuwa ni kundi hilo la wanasanaa; ikiwa na maana kwamba alifanya juhudi za kuwaleta karibu naye ili wamfanyie kazi aliyotaka waifanye.Yawezekana haagizi moja kwa moja wafanye hivyo lakini kukaa kimya au kuonekana anafurahia wakati hayo yakifanyika ni automatic submission ya kuashiria anayapenda na kuyakubali mambo hayo.
Hapa ndio unaona umenipoteza maboya sana?! Kwahiyo unadhani sijui ukweli, Bali ukweli ni huu unaoniambia hapa?Mkuu tstizo siyo system bali tatizo ni wagombea wa uraisi. Unamleta mgombea uraisi anaishi nje ya nchi tena kampeni zake ni za masimango na majigambo mwanzo mwisho. Wewe unategemea nini?
Unavyowazia kubadilisha uongozi wa nchi jadili pia na kubadili uongozi ndani ya chama. Why kiongozi wa chama anakuwa ni kiongozi wa kudumu? Why waelewa tusifikilie kwamba kiongozi huyo amewekwa na chama tawala kwa manufaa ya chama tawala
CDM BADILISHENI UONGOZI WA NGAZI YA TAIFA ILI KUPATA MAONO MAPYA. ACHENI KUKIFANYA CHAMA KAMA NI MALI YA MTU.
Mila na desturi za watu wa Katechi Hanang kwenye misiba zikoje? nyimbo,ngoma,kulia au kuimba. Tujadili uhalisia wa matukio kuanzia hapoRais ni MMOJA wa wafiwa, sababu wananchi anaowaongoza wamepoteza ndugu zao na Mali.
Kumpongeza Rais msibani, ni kumpongeza Kwa kufiwa.
Kucheza ngoma katika tukio Hilo Si sawa.
Acha kelele yakhe. Kaburi halitaki mbwembwe!!Mila na desturi za watu wa Katechi Hanang kwenye misiba zikoje? nyimbo,ngoma,kulia au kuimba. Tujadili uhalisia wa matukio kuanzia hapo
Mimi sioni haja yakumlaumu na kumdhihaki Rais na wasaidizi wake.Yule ni kiongozi lazima aheshimiwe
1)kupokelewa na kupigiwa ngoma zile ni protocol Za kiongozi ndo maana hata Marais wa nchi rafiki walivyokuja kwenye misiba ya Marais wetu waliotangulia mbele y'a haki protocol zilifuata kukagua gwaride na sanaaa na baadae kwenda sehemu husika
2)kusifia au kumpamba Rais hayo ni mahaba ya m2 Yeye hawezi kumkataza m2 anawaacha wajimwage ila anaweza kutoa maagizo kwa wasaidizi kama kuna mapungufu kayaona
3)Wajinga na washezi hawawezi isha Duniani tangu enzi za mitume na wataendelea kuwepo wanachoangalia wao ni maslahi yao binafsi
NB Tumwombe kiongozi wetu na Mungu ampe jicho la tatu ajifunze na kufanyia kazi mapungufu sio kumkashifu Je? Wazazi wetu wakikosea tunawakashfu? Jibu hapana
Ifike muda sasa Rais ayakatae hadharani mambo ya uchawa anayofanyiwa na wapambe wake. Kwa jinsi hali ilivyofikia huenda yeye ndiye mwenye kuendekeza hali hii.Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa upumbavu ni sifa sawa na ilivyo ufupi au urefu; yaani huwezi kuubadili. Ina maana, kwa tafsiri ya Mwalimu Nyerere, mpumbavu huwezi kumbadilisha akawa mwerevu.
Pole sana ndugu zetu wa Hanang kwa janga hili kubwa lililowapateni.
Wananchi tuliposikia Rais anaenda Hanang tuliamini kuwa anaenda kuwapa faraja waathirika, sawa na baadhi ya wengine wanavyostahili kufanya.
Lakini kwa bahati mbaya inaonekana Serikali na ikulu imejaa watu wa ajabu, ambao wamevuka hata ule mstari wa ujinga. Badala ya kuifanya ziara ya Rais kuwa ni ziara ya kuwapa faraja waathirika, wao wakaigeuza ziara hiyo kuwa ya uchawa. Yaani ziara ya kumsifia na kumpamba Rais.
Hawa watu ambao kwa kweli wamevuka hata kiwango cha ujinga, walishindwa kumtafutia mahali sahihi Rais wakampambe kwa uchawa wao wa kinafiki mpaka wakatumie misiba ya watu wa Hanang? Wakaandaa mpaka vikundi vya sanaa, ambavyo badala ya kuwafariji waathirika, wao kàzi yao ikawa kumsifu na kumwabudu Rais.
Hivi kweli nchi hii tuna watu wenye upeo mdogo kiasi hiki? Siamini na wala sishawishiki kuamini kwamba Rais alikuwa anayatarajia hayo.
USHAURI
Mambo kama haya ya hovyo, yanampa ujumbe Rais kuwa ndani ya Serikali yake amejaza watu wa hovyo wasioelewa hata kitu gani kifanyike wakati gani!!
Pumbavu Hana dawa {PhD} ndo zimejaa selikalini ni vigumu sana kubadilika.Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa upumbavu ni sifa sawa na ilivyo ufupi au urefu; yaani huwezi kuubadili. Ina maana, kwa tafsiri ya Mwalimu Nyerere, mpumbavu huwezi kumbadilisha akawa mwerevu.
Pole sana ndugu zetu wa Hanang kwa janga hili kubwa lililowapateni.
Wananchi tuliposikia Rais anaenda Hanang tuliamini kuwa anaenda kuwapa faraja waathirika, sawa na baadhi ya wengine wanavyostahili kufanya.
Lakini kwa bahati mbaya inaonekana Serikali na ikulu imejaa watu wa ajabu, ambao wamevuka hata ule mstari wa ujinga. Badala ya kuifanya ziara ya Rais kuwa ni ziara ya kuwapa faraja waathirika, wao wakaigeuza ziara hiyo kuwa ya uchawa. Yaani ziara ya kumsifia na kumpamba Rais.
Hawa watu ambao kwa kweli wamevuka hata kiwango cha ujinga, walishindwa kumtafutia mahali sahihi Rais wakampambe kwa uchawa wao wa kinafiki mpaka wakatumie misiba ya watu wa Hanang? Wakaandaa mpaka vikundi vya sanaa, ambavyo badala ya kuwafariji waathirika, wao kàzi yao ikawa kumsifu na kumwabudu Rais.
Hivi kweli nchi hii tuna watu wenye upeo mdogo kiasi hiki? Siamini na wala sishawishiki kuamini kwamba Rais alikuwa anayatarajia hayo.
USHAURI
Mambo kama haya ya hovyo, yanampa ujumbe Rais kuwa ndani ya Serikali yake amejaza watu wa hovyo wasioelewa hata kitu gani kifanyike wakati gani!!
Weka hadhalani ukweli unaoufahamu mkuuHapa ndio unaona umenipoteza maboya sana?! Kwahiyo unadhani sijui ukweli, Bali ukweli ni huu unaoniambia hapa?
KabisaMambo kama haya ya hovyo, yanampa ujumbe Rais kuwa ndani ya Serikali yake amejaza watu wa hovyo wasioelewa hata kitu gani kifanyike wakati gani!!
In short Tz hautuna kiongozi 2na matope [emoji41][emoji57]Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa upumbavu ni sifa sawa na ilivyo ufupi au urefu; yaani huwezi kuubadili. Ina maana, kwa tafsiri ya Mwalimu Nyerere, mpumbavu huwezi kumbadilisha akawa mwerevu.
Pole sana ndugu zetu wa Hanang kwa janga hili kubwa lililowapateni.
Wananchi tuliposikia Rais anaenda Hanang tuliamini kuwa anaenda kuwapa faraja waathirika, sawa na baadhi ya wengine wanavyostahili kufanya.
Lakini kwa bahati mbaya inaonekana Serikali na ikulu imejaa watu wa ajabu, ambao wamevuka hata ule mstari wa ujinga. Badala ya kuifanya ziara ya Rais kuwa ni ziara ya kuwapa faraja waathirika, wao wakaigeuza ziara hiyo kuwa ya uchawa. Yaani ziara ya kumsifia na kumpamba Rais.
Hawa watu ambao kwa kweli wamevuka hata kiwango cha ujinga, walishindwa kumtafutia mahali sahihi Rais wakampambe kwa uchawa wao wa kinafiki mpaka wakatumie misiba ya watu wa Hanang? Wakaandaa mpaka vikundi vya sanaa, ambavyo badala ya kuwafariji waathirika, wao kàzi yao ikawa kumsifu na kumwabudu Rais.
Hivi kweli nchi hii tuna watu wenye upeo mdogo kiasi hiki? Siamini na wala sishawishiki kuamini kwamba Rais alikuwa anayatarajia hayo.
USHAURI
Mambo kama haya ya hovyo, yanampa ujumbe Rais kuwa ndani ya Serikali yake amejaza watu wa hovyo wasioelewa hata kitu gani kifanyike wakati gani!!
Hahahaa, Unyama mwanng, ila usimlaumu madem ndo walivyo wanapenda kusifiwa vibaya mnoInaonekana huyo mama ndio zake hizo anapenda kusifiwa hata upepo ukivuma anataka apongezwe kwa upepo mzuri! Sasa hata maafa yakitokea anataka apongezwe pia, haya hongera bibie kwa mafuriko ya Hanang!