Wafike, istoshe now tunaomba directNilijitahidi kuweka vitu vyote vilivyotakiwa mkuu.
Vipi, ni sahihi kwa mimi kwenda kuulizia chuoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi 2018/2019 second round bado hawajatoa?.
college gani mkuu
Umesoma udsm halafu unatuuliza utaratibu wa udsm....!!!!!!???!;!! Sisi tutakujb nn sasa
Ni thread ya mwaka jana lakini?!!!Umesoma udsm halafu unatuuliza utaratibu wa udsm....!!!!!!???!;!! Sisi tutakujb nn sasa
Kua serious
Ndo hivyo ndugu.Vyuo vya maksi karanga.