Nina gari nataka kubadilishana na kiwanja

Nina gari nataka kubadilishana na kiwanja

Taleban

Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
16
Reaction score
1
Hbr kwa wote.
Kama nilivyoeleza nina gari aina ya honda airwave model 2006, very good condition.
Ninahitaji kubadilishana na kiwanja ambacho kitakuwa ni survey plot, haijalishi wapi ila kiwe dar es salaam.
Kwa yoyote aliyetiyari kwa hili tuwasiliane ili kuweza kuangalia vitu husika.
Mob : 0782335151, 0756600311.
 
Attachments

  • 1448596846503.jpg
    1448596846503.jpg
    88.4 KB · Views: 621
  • 1448596890712.jpg
    1448596890712.jpg
    78.4 KB · Views: 537
Hbr kwa wote.
Kama nilivyoeleza nina gari aina ya honda airwave model 2006, very good condition.
Ninahitaji kubadilishana na kiwanja ambacho kitakuwa ni survey plot, haijalishi wapi ila kiwe dar es salaam.
Kwa yoyote aliyetiyari kwa hili tuwasiliane ili kuweza kuangalia vitu husika.
Mob : 0782335151, 0756600311.

uza gari nunua kiwanja
 
Honda?
Uliletewa zawadi au ulienda show room mwenyewe?
Maana kuna watu mnapenda magari kwa kuyaangalia tu ili uonekane una gari tofauti,mwisho wa siku ndio haya yameyokukuta kwamba gari haiuziki kwa mfumo wa kawada hadi kuja kwenye mfumo wa enzi za bata tred.

Nakushauri uza gari nunua kiwanja,ingwekuwa Toyota hata kama mbovu basi wiki isingefika watu wangekuja kupambana bei.
Maana sijaona thamani umeyoweka ya 8.5m,na tena HONDA,wakati muundo huo ni sawa na NADIA,IPSUM ambazo sokoni zinafanya vizuri.
 
Back
Top Bottom