Nina furaha moyoni

Nina furaha moyoni

Du Kwakweli mimi nina ubongo mzito sana kuelewa. alikuachia simu yake na lain ndani au?
Akasahau kutoa pasiwedi, je ulikuwa unaijua mwanzo?

TECHMAN ukimpa mtu cm bila kuondoa account yako ya gmail hata ukitoa simcard ataendelea kupata sms za baadhi ya app kama Facebook, viber, na email zote zinazoingia hicho ndicho kilichofanyika.
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Nina mpz wangu nilishahisi anansaliti Jana tulikutana nikiwa na ka note3 mpya si akai mind akang'ang'ania nimpe nikamwambia kwa kuwa sina sim nyingine aniachie nikishanunua ndo achukue hii.
akagoma lazma nimwachie akanambia nichukue ya kwake kwa mda. nami kwa mapenzi yangu kwake nkampa akujua nilikuwa naitafta hiyo simu yake kwa mda mrefu niimiliki.
namimi sikupoteza mda nikaanza kutoa laini zangu na yeye akaanza kufuta sms nikamwambia toa lain akasema subiri kuna notes humu ngoja nifute akafuta.
aka uninstall baadhi ya app kimoyomoyo nilikua naomba asitoe password kweli akasahau kwa sababu nilimtinga sana.
nimezi install saivi nakula uhondo sms zake nazipata Nina furaha kwa sababu leo naenda kumpiga chini.
Pole sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom