ajira ngumu
Member
- Dec 21, 2014
- 64
- 4
heshima tafadhali""
msamehee tuu kama unampendaa!!
heshima tafadhali""
hivi wewe ulishawahi kuchat na mtu kupitia sms alafu unayoandika na kujibiwa mtu mwingine akiwa anaona live!Nafikiri ulikuwa umeshamchoka tayari ulikuwa unatafuta sababu na sasa umeipata ndiyo mana una furaha. Kama ungelikuwa unampenda usingelikuwa na furaha kiasi hicho. Lakini ndio mapenzi ya siku hizi ni kutafutiana sababu za kupigana chini. Nakushauri ungempa muda ajieleze pengine labda simu hiyo imewahi kutumiwa na mdogo wake au rafiki yake au mtu mwingine kabla au akiwa anaimiliki kwa kuazimwa.
hivi wewe ulishawahi kuchat na mtu kupitia sms alafu unayoandika na kujibiwa mtu mwingine akiwa anaona live!
Ukimchunguza bata humli
Ni kwamba yawezekana hiyo simu yeye ni second user, alizikuta sms kama wewe ulivyozikuta. Au pengine simu hiyo imekuwa ikitumiwa na mtu mwingine kwa kuwasiliana na mpenzi wake. Cha msingi mpe nafasi ajieleza. Dhamira yako inaonyesha huyo demu umemchoka na umekuwa ukitafuta sababu ya kummwaga ilipotokea hiyo ndiyo maana unafuraha sana.
Upuuzi mtupu. Sasa hapa ndio umeanzisha topiki gani? haya mambo ya ki.pu.m.ba.vu peleka kule face book kwa marafiki zako. Tumechoka kusoma mada za kitoto. Umejiunga juzi tu hapa JF, halafu unaanza kuandika uharo. Koma kabisa. Usituchafulie jukwaa letu tukufu. Umeniudhi sana.
Furaha yako ya kuhisi, kuchunguza, kubaini hitilafu na kupiga chin haitaisha milele kama hujaoa. Mpnz wako ni demu wako na wenzako.
Anakuwa karibu na wote coz hamjui wa ukweli ni yupi. Ukitaka atulie..nenda kampose. Maana yake kwao wakutambue na kwenu wamtambue she wako.
Nina mpz wangu nilishahisi anansaliti Jana tulikutana nikiwa na ka note3 mpya si akai mind akang'ang'ania nimpe nikamwambia kwa kuwa sina sim nyingine aniachie nikishanunua ndo achukue hii.
akagoma lazma nimwachie akanambia nichukue ya kwake kwa mda. nami kwa mapenzi yangu kwake nkampa akujua nilikuwa naitafta hiyo simu yake kwa mda mrefu niimiliki.
namimi sikupoteza mda nikaanza kutoa laini zangu na yeye akaanza kufuta sms nikamwambia toa lain akasema subiri kuna notes humu ngoja nifute akafuta.
aka uninstall baadhi ya app kimoyomoyo nilikua naomba asitoe password kweli akasahau kwa sababu nilimtinga sana.
nimezi install saivi nakula uhondo sms zake nazipata Nina furaha kwa sababu leo naenda kumpiga chini.
haaaa....kabla ya yote chukua simu yako kwanza....afu ndiyo umpige chini....
hivi unajua una vimeo afu unamchanganya kimeo na njiaa kuu kwenye simu moja......ndiyo maana wengine wana simu mbili moja ya vimeo ....moja na ya njia kuu....hii line ya njia kuu hakuna kimeo hata mmoja anayejua......
Vijana wa siku hizi siyo wavumilivu kabisa katika mapenzi.utaacha wangapi sasa?
Hahahaaaa babuweee kwa taarifa yako ushaachwa siku nyiingiii na umepewa hiyo simu ujimalize mwenyewe na chagua kumeza au kutema inakuhusu wewe! Note 3 iyoooooo imepepea na wewe umepeperushwa..
Nina mpz wangu nilishahisi anansaliti Jana tulikutana nikiwa na ka note3 mpya si akai mind akang'ang'ania nimpe nikamwambia kwa kuwa sina sim nyingine aniachie nikishanunua ndo achukue hii.
akagoma lazma nimwachie akanambia nichukue ya kwake kwa mda. nami kwa mapenzi yangu kwake nkampa akujua nilikuwa naitafta hiyo simu yake kwa mda mrefu niimiliki.
namimi sikupoteza mda nikaanza kutoa laini zangu na yeye akaanza kufuta sms nikamwambia toa lain akasema subiri kuna notes humu ngoja nifute akafuta.
aka uninstall baadhi ya app kimoyomoyo nilikua naomba asitoe password kweli akasahau kwa sababu nilimtinga sana.
nimezi install saivi nakula uhondo sms zake nazipata Nina furaha kwa sababu leo naenda kumpiga chini.
nimeishia cheka tu.

account ya gmail ukitoa Sim card tu bila kubadilisha account ya gmail ukimpa mtu hiyo simu ataendela kupata baadhi ya sms zako hususan e-mail zote atapokea Facebook messages zote atapata, viber, na baadhi ya social media.Du Kwakweli mimi nina ubongo mzito sana kuelewa. alikuachia simu yake na lain ndani au?
Akasahau kutoa pasiwedi, je ulikuwa unaijua mwanzo?