Nina fedha UAE nikaziuze wapi?

sqianne

JF-Expert Member
Apr 30, 2018
493
980
Nimejaribu kuingia branch za bank kadhaa hapa makao makuu ya nchi naambiwa hawazinunui.
Mliopo Dar au mnaoshughulika na maswala ya ubadirishaji wa fedha za kigeni nipeni taarifa kama nitaweza kuzibadili.
JPEG_20201019_115153_3719397369139351842.jpg
JPEG_20201019_115239_2188815888036959319.jpg
 

Attachments

  • IMG_20201019_114032_5.jpg
    IMG_20201019_114032_5.jpg
    49.4 KB · Views: 1
  • IMG_20201019_114029_9.jpg
    IMG_20201019_114029_9.jpg
    58.4 KB · Views: 1
Jaribu uwanja wa ndege kama uko Dar na kama Etihad airways inakuja, ubadilishane na anayeelekea Abu Dhabi.
 
Mkuu nenda Absa bank, huwa wanabadili chap, ila kama huna account yao utajaza mafom ya kutosha
 
Back
Top Bottom