Nina division 3 point 28,je naruhusiwa kujiunga chuo cha ualimu?

pole.Umeshindwa. hiyo ni division 4 siyo 3. Hayo matokeo kwa mfumo wa BRN 28 ni division 3 lakini kwa uhalisia na chance ya kwenda high education ni 4 tu. Pole sana vijana
 
Elimu sasa imekwisha ina maana four za zamani kwasasa ndiyo division three
hapo twajidanganya wenyewe ngoja maghorofa siku za mbeleni yaje yaanguke kwa wingi mno.

Ccm inajisifu ufauru umeongezeka japo wanajua hakuna jipya zaidi ni ujinga tu.
 
Elimu sasa imekwisha ina maana four za zamani kwasasa ndiyo division three
hapo twajidanganya wenyewe ngoja maghorofa siku za mbeleni yaje yaanguke kwa wingi mno.

Ccm inajisifu ufauru umeongezeka japo wanajua hakuna jipya zaidi ni ujinga tu.

kwani ndivyo ilivyo?? aliyepata 3 ya 28 angepata 3 hiyo hiyo kwa zamani.nasubiri ukatae
 
msiseme hii ni division 4 kwan haujui km hadi marks za usahiishaji zmebadilika
 
Anuary mdogo angu hayq matokeo badovsera yake haijatungwavkujua wanaoenda kidato cha 5 mwisho ni dvsn gan na weka wazi kama una credit za kufaa advance utaenda hata vuta subira una C ngap kwan maana zaman C tatu Unafanya pepa ya six.
 
hawa ndio walimu wetu watarajiwa,,,, napata wasiwasi!! tutegemee kujikwamua kielimu kwa style hii kweli? nawaonea huruma wanangu
 
kwa ushauri wangu mdgo kuwa makini saaana na ishu ya kukimbilia chuo unapona matokeo ovyo. Chc home page ya tcu vigezo vya kwenda bachelor. Last year form four waliokwend diploma thn waend bachelor walipata joto ya jiwe. Tcu ina sitisha hyo kitu wanao takiwa kwend diploma n mpka uwe form six levr tokeo halija simAMA (ADVANCE DIPLOMA) ndio ujiunge na bachelor. So jaribu kufwatilia hiyo taarifa kwanza kabla ya kuchukuwa hatua. Ndio mana mna sisi tiziwa someni wakti mda upo kufail form four ina kucost saa koz juzi kati tulikuwa tuna chambua hatua ambazo uta stahili kufwata hvi punde ambazo ni toka tcu. Kwa kweli ni ndefu sana una weza achia njiani kama huna moyo mpka ufike hiyo bachelor
 
Back
Top Bottom