Nina Diploma ya udaktari wa binadamu (diploma in clinical medicine) natafuta kazi

safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
8,536
2,000
Weka Mambo sawa hakuna Diploma ya udaktari, Wala hakuna clinical medicine ,wewe una diploma ya utabibu yaani clinical officer,Kama mpaka mwezi wa nane utakuwa hujapata nicheck Kuna kituo kipya kinaenda kufunguliwa Mwanga kilimanjaro ila binafsi
Mkuu diploma ya udaktari ipo usiwe mbishi.

Kama ambavyo kuna diploma ya ualimu basi na udaktari ipo diploma yake
 
ipulunganya

Member
Apr 18, 2021
50
125
Mkuu diploma ya udaktari ipo usiwe mbishi.

Kama ambavyo kuna diploma ya ualimu basi na udaktari ipo diploma yake
Samahani ,naweza kujua taaluma yako Kama hutajali ,nataka nikufafanulie tofauti Kati ya tabibu na daktari ,na Wala sina ubishi Kama utaniambia chuo kinachotoa diploma au certificate in medicine na huyo mwenye hiyo diploma tunamconsider Kama Nani?
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
8,536
2,000
Samahani ,naweza kujua taaluma yako Kama hutajali ,nataka nikufafanulie tofauti Kati ya tabibu na daktari ,na Wala sina ubishi Kama utaniambia chuo kinachotoa diploma au certificate in medicine na huyo mwenye hiyo diploma tunamconsider Kama Nani?
Kama unachotaka kunifafanulia hakiwezi kufahamika mpaka uwe na taaluma basi haina haja ya kufafanua.

Lakini kama unadhani unachotaka kufafanua ninaweza kukielewa bila kujali taaluma au laa basi naomba nifafanie.

Sijajibu kwa ubaya ila naona kuna watu kama mnalinganisha baina ya taaluma na ufahamu,kuna watu hawana taaluma ila wanafahamu mambo ya taaluma husika bila kupita huko vyuoni.
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
8,536
2,000
Samahani ,naweza kujua taaluma yako Kama hutajali ,nataka nikufafanulie tofauti Kati ya tabibu na daktari ,na Wala sina ubishi Kama utaniambia chuo kinachotoa diploma au certificate in medicine na huyo mwenye hiyo diploma tunamconsider Kama Nani?
Kama hutojali nifafanulie kati ya daktari nna tabibu.

Lakini uwe tayari kwa mjadala huru wa kubadilishana mawazo
 
cefixime

Member
Aug 14, 2020
24
45
Samahani ,naweza kujua taaluma yako Kama hutajali ,nataka nikufafanulie tofauti Kati ya tabibu na daktari ,na Wala sina ubishi Kama utaniambia chuo kinachotoa diploma au certificate in medicine na huyo mwenye hiyo diploma tunamconsider Kama Nani?
Hebu niambie tofauti ya tabibu na daktari..
Tatizo nyie muliofika degree munatuzarau sisi wa diploma...wakati kazi ni moja
Mm nipo Kijiji natibu binadamu kwenye zahanati.wew upo hospitali ya wilaya unatibu binadamu....heshimu utu wa mtu.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
14,071
2,000
Weka Mambo sawa hakuna Diploma ya udaktari, Wala hakuna clinical medicine ,wewe una diploma ya utabibu yaani clinical officer,Kama mpaka mwezi wa nane utakuwa hujapata nicheck Kuna kituo kipya kinaenda kufunguliwa Mwanga kilimanjaro ila binafsi
Kwa sasa ana diploma ya Utabibu, kwa hiyo akijiendeleza atapata Digrii ya Utabibu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom