cefixime
Member
- Aug 14, 2020
- 33
- 41
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ivi Clinical medicine=clinical officerNiva elimu tajwa hapo juu Nina leseni nimemaliza chuo Cha lugalo mwaka 2019,natafuta kazi nipo arusha.naweza kufanya pia ya pharmacy Kama wakala wakutafuta wateja.naomba uni PM Asante.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ndio.
Kozi ishakuwa haina soko tena.Hawa wadogo zangu wasome sana wanaosoma hii kozi
Mkuu diploma ya udaktari ipo usiwe mbishi.Weka Mambo sawa hakuna Diploma ya udaktari, Wala hakuna clinical medicine ,wewe una diploma ya utabibu yaani clinical officer,Kama mpaka mwezi wa nane utakuwa hujapata nicheck Kuna kituo kipya kinaenda kufunguliwa Mwanga kilimanjaro ila binafsi
Clinical medicine ni kozi, ukimaliza hiyo kozi unakuwa Clinical officerIvi Clinical medicine=clinical officer
SawaClinical medicine ni kozi, ukimaliza hiyo kozi unakuwa Clinical officer
Samahani ,naweza kujua taaluma yako Kama hutajali ,nataka nikufafanulie tofauti Kati ya tabibu na daktari ,na Wala sina ubishi Kama utaniambia chuo kinachotoa diploma au certificate in medicine na huyo mwenye hiyo diploma tunamconsider Kama Nani?Mkuu diploma ya udaktari ipo usiwe mbishi.
Kama ambavyo kuna diploma ya ualimu basi na udaktari ipo diploma yake
Kama unachotaka kunifafanulia hakiwezi kufahamika mpaka uwe na taaluma basi haina haja ya kufafanua.Samahani ,naweza kujua taaluma yako Kama hutajali ,nataka nikufafanulie tofauti Kati ya tabibu na daktari ,na Wala sina ubishi Kama utaniambia chuo kinachotoa diploma au certificate in medicine na huyo mwenye hiyo diploma tunamconsider Kama Nani?
Kama hutojali nifafanulie kati ya daktari nna tabibu.Samahani ,naweza kujua taaluma yako Kama hutajali ,nataka nikufafanulie tofauti Kati ya tabibu na daktari ,na Wala sina ubishi Kama utaniambia chuo kinachotoa diploma au certificate in medicine na huyo mwenye hiyo diploma tunamconsider Kama Nani?
Basi nimekuelewa mkuuKama unachotaka kunifafanulia hakiwezi kufahamika mpaka uwe na taaluma basi haina haja ya kufafanua...
Hapana. Haitakuwa kama uwalimu. Labda wanaosoma hawana ubunifu wowote. Tz ni kubwa mno kuna sehemu raia hawajawahi kumuona hata M.A (medical attendant). Sasa C.O atakuwaje?
Hebu niambie tofauti ya tabibu na daktari..Samahani ,naweza kujua taaluma yako Kama hutajali ,nataka nikufafanulie tofauti Kati ya tabibu na daktari ,na Wala sina ubishi Kama utaniambia chuo kinachotoa diploma au certificate in medicine na huyo mwenye hiyo diploma tunamconsider Kama Nani?
Kwa sasa ana diploma ya Utabibu, kwa hiyo akijiendeleza atapata Digrii ya Utabibu?Weka Mambo sawa hakuna Diploma ya udaktari, Wala hakuna clinical medicine ,wewe una diploma ya utabibu yaani clinical officer,Kama mpaka mwezi wa nane utakuwa hujapata nicheck Kuna kituo kipya kinaenda kufunguliwa Mwanga kilimanjaro ila binafsi