United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,237
- 6,604
Pole sanaHeri ya siku njema ya Jumamosi.
Mimi nina changamoto ya hasira kali sana. Hii inafanya niwe mtu wa kujiangalia sana. Mpaka nywele za kichwa zinasimama nikichukia, halafu nakuwa natisha mno... namuogopesha mno mpenzi wangu.
Wanasaikoloji nisaidieni nahisi nitapasua kichwa cha huyu manzi au nitamtoboa macho au whatever... naandika muda huu huku nina hasira sana.
Pleaseeeee sitaki nimkate kichwa. Sitaki nimuone tu nimeamua hivyo. Sitaki nimuone tena nimechukia mno... hajafanya chochote ila basi tu nina hasira mno pleaseee naomba nisiendelee
Mkuu inaoneka una na experience na hili,na upo sahihi kabisa na hili ni tatizo la wengi..Kujaaa hasira ni udhaifu mkubwa sana.
Actually ni reflection ya shida iliyopo ndani ya mtu.
Werevu hujua.
Wakimuona mtu mwenye kuwaka mahasira wanajua ako anapitia matatizo mazito.
Una maanisha ni hali ya kawaida???????Hio si changamoto Kwa kuwa kuna wengine ni wapole Sana!!
Oaneni. Uasherati na uzinzi ni uchafu.Heri ya siku njema ya Jumamosi.
Mimi nina changamoto ya hasira kali sana. Hii inafanya niwe mtu wa kujiangalia sana. Mpaka nywele za kichwa zinasimama nikichukia, halafu nakuwa natisha mno... namuogopesha mno mpenzi wangu.
Wanasaikoloji nisaidieni nahisi nitapasua kichwa cha huyu manzi au nitamtoboa macho au whatever... naandika muda huu huku nina hasira sana.
Pleaseeeee sitaki nimkate kichwa. Sitaki nimuone tu nimeamua hivyo. Sitaki nimuone tena nimechukia mno... hajafanya chochote ila basi tu nina hasira mno pleaseee naomba nisiendelee
Sa si NdioUna maanisha ni hali ya kawaida???????
Aisee! Unahitaji kujifunza Vitu vingi sana.Sa si Ndio
jifunze kuitawala hiyo hasiraHeri ya siku njema ya Jumamosi.
Mimi nina changamoto ya hasira kali sana. Hii inafanya niwe mtu wa kujiangalia sana. Mpaka nywele za kichwa zinasimama nikichukia, halafu nakuwa natisha mno... namuogopesha mno mpenzi wangu.
Wanasaikoloji nisaidieni nahisi nitapasua kichwa cha huyu manzi au nitamtoboa macho au whatever... naandika muda huu huku nina hasira sana.
Pleaseeeee sitaki nimkate kichwa. Sitaki nimuone tu nimeamua hivyo. Sitaki nimuone tena nimechukia mno... hajafanya chochote ila basi tu nina hasira mno pleaseee naomba nisiendelee
mkuu unaikasilikia malighafi?Heri ya siku njema ya Jumamosi.
Mimi nina changamoto ya hasira kali sana. Hii inafanya niwe mtu wa kujiangalia sana. Mpaka nywele za kichwa zinasimama nikichukia, halafu nakuwa natisha mno... namuogopesha mno mpenzi wangu.
Wanasaikoloji nisaidieni nahisi nitapasua kichwa cha huyu manzi au nitamtoboa macho au whatever... naandika muda huu huku nina hasira sana.
Pleaseeeee sitaki nimkate kichwa. Sitaki nimuone tu nimeamua hivyo. Sitaki nimuone tena nimechukia mno... hajafanya chochote ila basi tu nina hasira mno pleaseee naomba nisiendelee
Atakuwa amelewa huyuMfano muda huu una hasira sana kwasababu gani?
Kwani kuwa na hasira ni dhambi??Aisee! Unahitaji kujifunza Vitu vingi sana.
Hatuwezi kuwa Sawa tuko tofauti ili maisha yaende jikubali Kwa Kila ulichonachoKwani kuwa na hasira ni dhambi??
Shangazi bhanaOaneni. Uasherati na uzinzi ni uchafu.
Bado hasira inaendelea mpk leo nikupe ushauri.. ?Heri ya siku njema ya Jumamosi.