Nina Certificate in A+ Natafuta tempo.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina Certificate in A+ Natafuta tempo..

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by ProBook, Feb 19, 2012.

 1. ProBook

  ProBook JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Wana JF Mimi ni mmoja kat ya wale 2liohitimu form 6 dic feb an nlikuwa natafuta tempo ya kufanya for sometym nkiwa hm ili nicje nkakaa idle,,basically me nina certificate ya A+(computer maintenance and repair) an i've a passion of working with cmpters..so plz wana JF if u need me or umeckia kuna mahali wanatoa tempo or kuna project za kufanya zenye maslahi naomba unisaidie ili hata na mimi niapply..thnx sana
   
 2. Taz

  Taz JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 305
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sina msaada wowote kwa sasa ila nimeona nisipite bila kukupongeza kwa kukataa kukaa iddle na pia kwa kupata hiyo certificate with an A. Congrats. Nikipata taarifa sitakosa kukujulisha.
   
 3. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  tupo pamoja ndugu, hope tutapata msaada tu
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Hongera kwa kufaulu.
  Siku nyingine ukiomba kazi una-bold ujuzi ulio nao na sio matokeo. Cha pili, usitangulize maslahi kwa sasa. Nakushauri utangulize passion (hadi leo nikisaka kazi sisemi nna passion ya mahela, najisemelesha kuhusu passion yangu ya kujenga nchi utadhani mwana-TANU!)
  Kila la heri.
   
 5. The Spit

  The Spit JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Nadhani wadau hamjamuelewa dogo.Nilivyomuelewa ni kuwa amefanya certification ya IT,ni kama vile Kufanya mitihani ya Cisco au Microsoft, Yeye kafanya na kufaulu CompTIA A+ Certification.Hii sio kwamba kapata A nyingi A level au kusema ana div.One nini form six. Ni A+ Career certification in IT.Kwa hiyo ana basics za kutosha katika computer maintenance na support anataka sehemu akajishkezi apate fweza kidogo akipata pata na experience coz anaipenda IT. Wenye uwezo wa kumsaidia wamsaidie jamani.
   
 6. ProBook

  ProBook JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  dah thnx sana bro kwa kunsaidia hapa
   
 7. ProBook

  ProBook JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  ujuzi nlionao mbna nimeshaeleza kuwa nimesomea course ya Compter Maintenance and Repair(A+) Nina certificate...
   
 8. K

  Kidzude JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 2,711
  Likes Received: 324
  Trophy Points: 180
  tengeza computer za charity kwanza i.e mskitini, church au sehemu za watoto yatima utapata kazi.
   
 9. Mla Mbivu

  Mla Mbivu JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  If you real need a job. never use words like 'dic' instead of this, or 'nicje' as a replacement of nisije. Just to help you.
   
 10. Chibidu

  Chibidu JF-Expert Member

  #10
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 387
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nyie watoto mtakosa msaada kwa kuiga vitu vya ujinga. Hivi unadhani kila mtu afurahia huo uvivu wako wa kuandika maneno kwa ufasaha? If you need a job/help you must be serious my dear. Otherwise people will just ignore you
   
 11. ProBook

  ProBook JF-Expert Member

  #11
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Nimewaelewa kaka zangu,asanteni kwa ushauri mzuri
   
 12. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hivyo vyeti vipo vingi sana mtaani,ongeza vyeti kijana,kazi itakutafuta popote ulipo
   
 13. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #13
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mkuu,aongeze vyeti au aongeze ujuzi?
   
 14. Mabwepande

  Mabwepande JF-Expert Member

  #14
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wtu wna dgree na bdo wpo ktaa, bra ukae hme umsdie bk3 kupka.
   
Loading...