Kwa sifa ulizonazo na kama kweli unajua kazi kwanini unahangaika kutaka kuajiriwa kwani usijiajiri mwenyewe naamini wapo wengi ambao ungweza kuwafanyia kazi ukiwa kama mjasiriamali ,kwanini wa Tz tuna ugonjwa wa kupenda kuajiriwa,tumia ombwe la ICT tulionalo hiyo ndio fursa,nunua laptop ,modem,simu kazi kwisha baada ya muda utakuwa na ofisi na kazi zitakufuata zenyewe kwa sasa inakubidi uzifuate,jiamini omba appointment fanya presentation ya kitu ulicho nacho mengi yatakuwa historia