Azoge Ze Blind Baga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 366
- 1,379
Ujue mpaka sasa sielewi inakuaje
Hapa nilipo mi nikijana mdogo mdogo wa miaka 35, maskini tu japo nina degree ya wanyamapori kutoka SUA.
Huku mtaani ninakoishi jijini Mwanza jamanii eeeh naamkiwa na mabinti hadi kero, sijui hawa mabinti lengo lao kuninyima nini. Huwa najiuliza hizi mvi kwenye ndevu ndo tatizo la mimi kuonekana mzee!! Au shida ni nini!