UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Habari wana JF,
Katika mikikimikiki ya maisha nimejigundua nina uwezo mkubwa sana wa akili katika mambo mengi ya kimaisha. Nina uwezo wa hali ya juu wa kujua nini kitatokea kesho, jinsi ya kusoma akili za watu kwa usahihi kabisa na si kujisifia.
Kiufupi nina akili za ziada ambazo ni adimu. Nina uwezo wa kutatua jambo lililoshindwa na watu wengi na likafanikiwa. Kama una jambo gumu liweke wazi.