Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 20,981
- 46,676
Maelezo hayo MPE mtoa mada anye jilinganisha na computer ndio maana nimemwambia akili zake finyu kujilinganisha na kitu kilicho buniwa na mwanadamu.Computer sio intelligent zaidi ya binadamu....Mpaka leo watalamu wa kitu kinaitwa artificial neurons wameshindwa kuiga reasoning process ya binadamu kwa asilimia..Computer inamzidi binadamu kwenye umakini tu wa tasks kubwa lakini sio suala la intelligence.. Kama unabishaa niendelee kukupa somo....Computer itakuwa intellligent zaidi ya binadamu iwapo itaweza kujifunza kama binadamu na kufanya ugunduzi kama binadamu.
au na wewe hukunielewa nilimaanisha nini?