Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,833
- 41,128
Majukumu hayajakuzidi
Niliwahi tumia Samsung a50 na sasa natumia Oppo a12 zote zinanifanyia hivyoSimu zinatofautiana mkuu
Hili ndio jibu sahihi la tatizo la mleta madaHaupo bize ndio maana. Tafuta shughuli ya kukufanya uwe bize.
Asante mkuu 🙏🙏Miongozo mingi naona uwe bize na mimi nakazia hapo hapo.
Ndio mkuu Ila kuna nyakati hata nikipokea si jobless nilikuwa Tu na uraibu wa simu kiujumla. Yaani sometimes simu inanifanya niwe busy kiasi cha kuona kuwa kazi inanikera.Wewe ni jobless?