Jamani wadau naomba msaada, mana nimeangaika hadi nimechoka kutafuta kazi. Nina Ordinary Diploma in Accountancy GPA 4, Advance Diploma in Accountancy GPA 4.2. zote nimepiga IFM. Nilipomaliza Advance mwaka 2009 niliunganisha kufanya masters ya Accounting and Finance toka Mzumbe University, and on the same time nikawa nafanya CPA. CPA nilipass zote at 1st sitting na June mwaka jana nikawa nimeipata. Masters nina GPA 4.1, bado kudefend thesis tu. lakini wadau nimetafuta kazi tangu nilivyopata hiyo CPA hadi leo hola! nisaidieni basi ndugu zangu!

Waone Radar Recruitment the leading Recruitment Agency in Tanzania: Home pale BARCLAYS HOUSE Ohio Street muone Catherine Baretto au Janet Igogo utapata kazi halafu unisahau!
Aisee hii nchi hii!
Nakuombea kheri ndugu yangu, usijali iko siku utafanikiwa....Mwombe sana Mungu, ajira zitakufuata na nyingine utazikimbia......
Kinachomnyima kazi ni kukosa "practical experience" huko Radar ni wakala tuu kule wanakowapeleka wanataka watu wenye uzoefu wa kufanya kazi wenyewe bila kusimamiwa.
Hata mimi ninayo lakini sijaona matumizi wala faida yake na mshahara wa kawaida tu serikalini
pole sana,kama huna connections i suggest u look for a job in organizations that value education background such as TRA,TBL,and other private companies ambazo hazina wabongo wengi!!!!kuwa mvumilivu,utapata kazi!!!<br />
<i>By the way mie naenda hapo mzumbe,mbona wametuongezea ada,wanatupa kweli hivo vitabu au ndo tunalipia tu</i>
Waone http://www.radarrecruitment.com" Radar Recruitment the leading Recruitment Agency in Tanzania: Home</a> pale BARCLAYS HOUSE Ohio Street muone Catherine Baretto au Janet Igogo utapata kazi halafu unisahau!