naitaji iliyotumika na mtu yoyote hapa hapa tz. iwe chini ya cc 1400. iwe imetengenezwa kuanzia mwaka 2000. iwe haijawai pata ajali. kama unayo ni pm ili nikupe namba ya whatsup unitumie picha.
Nina maana yangu, kwa kiasi cha pesa aliyo nayo sina hakika kama atapata gari zuri, labda bovu ambalo gharama za uendeshaji na matengenezo zitamgharibu zaidi ya pesa alizonunulia