Unataka gari ya aina gani? sasa hivi magari kwa ajili ya usafiri wa binafsi watu wanachagua cc ndogo kuanzia 1600 na kushuka. Mimi naweza kukuzia ya cc 1300 ninaitumia mwenyewe, na iko vizuri sana. Lakini pia naweza kukuagizia kwa kitu kama miilioni 7, sasa uchague nikufanyie order ya mpya chini ya km. 70,000 au uchukue hiyo yangu ambayo ndio imevuka tu i km 100000 kwa 5. mil. Gari yenyewe ni manual DAIHATSU STORIASALOON CAR.