Nina 5m nataka toyota vista

Nina 5m nataka toyota vista

vigilia

Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
33
Reaction score
11
Habari zenu wajumbe.
Naomba mwenye information za yard za magari ambazo zipo Dar ambapo naweza pata Toyota vista kwa 5m. Sio lazima iwepo yard. Tafadhali
 
Ipo premio nataka 6m
 
ongeza 1.5 nkupe Caldina T ....AXE
 
Habari zenu wajumbe.
Naomba mwenye information za yard za magari ambazo zipo Dar ambapo naweza pata Toyota vista kwa 5m. Sio lazima iwepo yard. Tafadhali

Ongeza 1.5 nikupe toyota camry,infanana kabisa ni vista,namba bgz
 
Habari zenu wajumbe.
Naomba mwenye information za yard za magari ambazo zipo Dar ambapo naweza pata Toyota vista kwa 5m. Sio lazima iwepo yard. Tafadhali

nitakupa suzuki wagon, iko bomba kabisa.....ni pm
 
Habari zenu wajumbe.
Naomba mwenye information za yard za magari ambazo zipo Dar ambapo naweza pata Toyota vista kwa 5m. Sio lazima iwepo yard. Tafadhali

You arent serious. Vista yangu nimeinunua mwaka wa juzi milion 7 na ushee ivi. Baada ya kupanda kwa kodi na nini na nini unafikiri utapata kwa 5m? Ya kwangu ukinipa 8m tunafanya bizines fasta!
 
Back
Top Bottom