Nina 50,000sh. nifanya biashara gani?

Fanya hivi kopesha kwa mtu afu akulipe 70 alafu endelea hivo hivi kukopesha ndo kuna kuza mtaji NB kopesha kwa dhamana ya kitu chenye zaidi ya thamani ya hela
 
Kama unaweza njoo nikupe shule ya marketing uelewa wako product unachukua bure unarudisha demarch jioni watu wanapiga hela hadi 20000 kwa siku nyumba getho langu utakaa bure ila inabidi uwe mvumilivu uyakacho takiwa kuaanda ni barua ya Mtendaji na hela ya kujazia fomu 15000 na wadhamini watatu na Namba zao za Simu KARIBU sio lazima ni ushauri tu

Huu ushauri hauna mashiko
 
haaaaaaaaaaaaaa????????
 
Tengeneza kipato cha Ziada Kwa kupata kitabu maalumu kitakacho kufanya ujue kutengeneza bidhaa mbali mbali muhimu za viwamdani nyumbani kwako na uweze kujiajiri. Kitabu hicho utakipata Kwa bei ya TSh.5,000 tu! Katika email au whatsup yako. Whatsup au nipigie 0762208190 AU 0718978295. Utachagua unacho taka kujiajiri kitaalam kupitia kitabu hicho.
 
Back
Top Bottom