Nina 50,000 nifanye biashara gani?

Habari wakuu
Mimi Ni Mama wa nyumbani mkazi was uswahilini huku asilimia kubwa wakazi wa huku Wana vipato vya chini
Sasa Mimi Nina elfu 50 natak kufanya huku kwetu naomba mnisaidie ushauri
Ni biashara gn itafaa kutokana na mazingira niliyopo?!
Vitumbua

Maandazi

Ice cream ( kama una Jokofu )

Chipsi ( Nunua viazi tu, kaanga tu kwenye sufulia - funga za fungu 500 )
 
Nunua matikiti, ndizi na parachichi, kata kata vipande fungasha kwenye vile vifungashio vyako then zungusha mtaani! Na imani jioni ukirudi kufunga hesabu huwezi kukosa ya DONA/Sembe ya kulalia, Maisha yanasonga..
 
Habari wakuu
Mimi Ni Mama wa nyumbani mkazi was uswahilini huku asilimia kubwa wakazi wa huku Wana vipato vya chini
Sasa Mimi Nina elfu 50 nataka kufanya huku kwetu naomba mnisaidie ushauri
Ni biashara gani itafaa kutokana na mazingira niliyopo?!
tafuta timu mbili au tatu kwenye pawabet nenda option ya double chances stake hiyo pesa n thank me later
 
Back
Top Bottom