zunya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 1,529
- 1,073
Pata Iphone 5s refurbished pale kariakoo
mkuu....Njoo nikuunganishe upate Samsung J7 mpya dukani kwa bei ya jumla ila andaa 10,000 yangu ya soda![]()
niPM basi tuyajenge nami nipate kichinjio iko
Pata Iphone 5s refurbished pale kariakoo
mkuu....Njoo nikuunganishe upate Samsung J7 mpya dukani kwa bei ya jumla ila andaa 10,000 yangu ya soda![]()
do! teh..teh... we jamaa jifunze kusahauSio crack hiyo inaitwa expansion joint
Kichinjio???mkuu....
niPM basi tuyajenge nami nipate kichinjio iko
Kuna iPhone 6 brand new!
420k
It's complete (fullbox)
Toa namba hapaMkuu hiyo iphone 6 bado ipo ....
eeewh kichinjio, yani demu nikimuomba namba hawezi ruka, nkimtolea tu anaandika namba fastaKichinjio???
huwa hamjifichi..kulikuwa na haja gani ya maelezo yako hayo.Mm natunia uhawei P10 hiyo pesa yako izidishe Mara mbili na uongezhapa dola 100 ndio unamiliki p10
Mkuu Kama bado hujapata simu.Natafuta simu nzuri bandugu wa JF lakini isiwe Techno au Huawei wala aina za kichina, je ninunue simu gani?
Lete mimi Nitakuletea IPhone S5Natafuta simu nzuri bandugu wa JF lakini isiwe Techno au Huawei wala aina za kichina, je ninunue simu gani?
Mkuu tuma picha ya hii tufanye biasharaIf interested nna Oppo A57!
Internal 32, ram 3 gb, camera 16 mbele 13 nyuma, fingerprnt etc Nataka 400k! Unique n genuine.
Wa mkoani napataje mzigo mkuuMkuu Kama bado hujapata simu.
Kwa price hiyo tutakuuzia
Samsung s6 32 gb 400k
Iphone 5s 32 gb 400k
Samsung s6 edge 4500k
Samsung s6 edge plus 530k
Zote zipo in excellent condition.
Full boxed. Tupo Ilala
Karibu mkuu.
Contacts 0739332255 or 0652332255
Mkuu kwa sasa frankly speaking hatuna utaratibu mzuri na wa uhakika kutuma mzigo mkoa bado(frauds nyingi + conmen).Wa mkoani napataje mzigo mkuu
Mkuu upo serious au unachombeza muda tu?Natafuta simu nzuri bandugu wa JF lakini isiwe Techno au Huawei wala aina za kichina, je ninunue simu gani?
Iphone 5sNatafuta simu nzuri bandugu wa JF lakini isiwe Techno au Huawei wala aina za kichina, je ninunue simu gani?