sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,162
- Thread starter
- #41
Nimeshapata simu wakuu, Samsung galaxyJ7 NEO ya mwaka huu 2017. Hivyo sihitaji tena simu, nimeridhika sana na hii simu kwa kweli.Mkuu upo serious au unachombeza muda tu?
Nimeshapata simu wakuu, Samsung galaxyJ7 NEO ya mwaka huu 2017. Hivyo sihitaji tena simu, nimeridhika sana na hii simu kwa kweli.Mkuu upo serious au unachombeza muda tu?
UmepatA wapi na kwa ngapi mkuu?Nimeshapata simu wakuu, Samsung galaxyJ7 NEO ya mwaka huu 2017. Hivyo sihitaji tena simu, nimeridhika sana na hii simu kwa kweli.
Chukua iphone 5s 32gb kwa 550Natafuta simu nzuri bandugu wa JF lakini isiwe Techno au Huawei wala aina za kichina, je ninunue simu gani?
Kabbissa simu hupumuaSio crack hiyo inaitwa expansion joint
Ongeza 50000 nikupe oppo A3, memory 64G mpya kabisaNatafuta Phantom 8 plus au infinix zero 5 pro nna 450k
Ni kati ya hizo mzee hiyo oppo sijawahi tumia.... Ndo naisikia LeoOngeza 50000 nikupe oppo A3, memory 64G mpya kabisa
Njoo nikuuzie j7 gb 16 na chenji inarudNatafuta simu nzuri bandugu wa JF lakini isiwe Techno au Huawei wala aina za kichina, je ninunue simu gani?